Mwamba alivyojimaliza mwenyewe baada ya kugundua kuwa watoto aliezaa na mkewe sio wa kwake

doctor hivi wanaume wawili wakifanya tendo la ndoa na mwanamke mmoja kwa wakati mmoja... Mtoto akizaliwa anakuwa na DNA Za baba wote au?
Hapana.

Hakuna mtoto wa wanaume wawili kamwe. Ambaye mbegu zake zitatungisha mimba ndiye ambaye mtoto atakuwa na DNA zinazoendana.

Mimba inatungwa mara moja tu.
 
Ngoja kwanza..... mechi ya Taifa Stars ikiisha nitarudi kukuuliza hili linawezekanaje?

"Ile binti anatoka, jamaa akaamua kujipiga risasi tano kichwani."
 
Risasi tano kichwani! How come bro! Hizo zingine alijipiga akiwa ameishakufa? Au alipiga kichwa kipi?
 
Story umeanza vizuri umemaliza vibaya hivi unawezaje kujipiga Risasi 5? We jamaa unatuona sisi Maboya Sana Pimbi wewe
 
Kwani ni lazima grp la damu la mzazi liwe sawa na mtoto ??? Sio lazima stry yako ni uongo tu. Et risasi tano kichwani... uongo tu listry la kujitungia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…