Mwamba alivyojimaliza mwenyewe baada ya kugundua kuwa watoto aliezaa na mkewe sio wa kwake

Angetafuta tu wazee wa busara ili wamuelimishe kuwa kitanda hakizai haramu. Wanaume niwashauri kuwa wengi tunaoa wake za watu, anaembikiri mwanamke ndie mme wake halali.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 

Mkuu mbna unataka kutupoteza kwamba kutumia phenotype au genotype n option tu kwamba unaamua?[emoji3526] ivo n vtu real vnatokea aina ku opt sio theory io

“Mama AB, baba AB mtoto hawezi kwa A,B au O”?? Kwamba uko serious au una joke??
 
Sio lazima mtoto afanane blood group na baba yake so hii chai
 
Kuchangia Damu sio kipimo cha kujua mtoto ni wako ama si wako. Kipimo pekee cha kujua mtoto ni wako ni kupitia DNA. Unaweza ukawa umezaliwa na baba na mama halisi ila makundi ya Damu za watoto na za wazazi zisifanane. Na wakati wa kupima damu ili wachangie uwa DNA haipimwi, hivyo story yako ni ya uongo unless utuambie kuwa alienda kupima DNA na sio makundi ya Damu
 
Pia dam anayotolewa mtu huwa sio anayowekewa huwa wanaganya kureplace na ili mtu awekewe dam huwa kuna vipimo vingi sana huchukuliwa, labda katika mazingira ambayo hakuna dam na mtu asipowekewa dam anakufa ndo watacheki tu groups na anawekewa direct ili kuokoa maisha
 
Lakini vipimo vinavyofanywa hapo ni vya ku-screen magonjwa yanayohusiana na damu tu (Blood Born disease), DNA haipimwi.

Na hata kama asipowekewa damu anakufa, hakuna sheria inayosema awekewe moja kwa moja tu kwa kuangalia groups tu, Damu lazima ipimwe na magonjwa. Unaweza kuwa na agenda nzuri ya kuokoa maisha, ila ukimuwekea mtu damu ambayo haijapimwa magonjwa unaweza kusababisha kuongeza tatizo badala ya kupunguza tatizo. Hivyo ili kujiepusha na hayo yote ndio maana kitengo cha Blood Bank kikaanzishwa, kwa ajili ya kuchangia damu wakati wa dharura kisha badae kutafuta watu wa kuchangia.
 
Kauliwa maana hawezi kujipiga risasi tano kichwani

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Baba na mtoto wanaweza wakawa na blood group tofauti, ungetafiti kwanza.
 
Uwekezaji mkubwa wa nafsi ya mwanadamu unatakiwa uwekwe katika "mental strength" zaidi ya "physical strength"....

Binafsi ninaamini kuwa ni Mwenyezi Mungu pekee hawezi kunigeuka....kwani si mwanaadamu....na siwachukii kupitiliza wanadamu wanaonigeuka kwani si kila mwanadamu anawekeza katika MENTAL AND SPIRITUAL STRENGTH.....

#DoNotDoHarm[emoji120]
#Life'sToShortJustCherishIt[emoji120]


Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Stori ya Nchi gani hii? Au Bongomovie
 
Mtoto wangu hatakama mama Ake mzuri namna Gani kwangu Mimi wanangu hawawezi fanana sura hivyo


Kwenye risasi hamsha hapo siosawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…