Mwamba huko Tarime kajinyonga kisa mpenzi wake na barua yenyewe alioiacha ndio hii

Hiyo namba ya simu ameweka hapo kama haujaelewa Barua mpigie simu umuulize
 
Kwa uandishi huu acha afe tu,wajinga wapungue Tanzania.
Awe ni mjinga au la, ni binadamu kama binadamu wengine na uwepo wake haukupunguzii chochote
Kujiua ni uamuzi mgumu, maana yake alikuwa ana msongo wa mawazo sana kutokana na hali iliyomkuta. Alihitaji mwanasaikolojia wa kumsaidia, haijalishi amesoma au la. Alistahili kuendelea kuishi
 
Wajinga

Wajinga na watu dhaifu hawana faida duniani wanamaliza oksijeni tu....
 
Back
Top Bottom