GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Naomba radhi kwa Maneno kadhaa Makali yaliyomo, ila Kikubwa tu naomba tuyasikie yale ya maana / muhimu ambayo kayasema ambayo kwa 100% yamesababisha Wanaume wengi kuwa na Nuksi nyingi na kila Siku tu Maisha yetu kuwa Magumu huku tukimsingizia Shetani kuwa Msababishi wakati kumbe Kiuhalisia Wasababishi ni Sisi wenyewe Wanaume kutokana na Upumbavu na Ushamba wetu.