City Of Lies
Platinum Member
- Sep 8, 2011
- 6,073
- 7,997
Dah! Nimecheka sana.Kuna uzi jana ulitembea sana, Huko marekani wanaponyonyana kila sehemu wanatuzidi maendeleo, but sisi hao wenye maadili hata matundu ya vyoo shuleni hayatoshi.
Kiufupi Tusipangiane cha kufanya