Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata KAMA nini mimi lazima nigechoma tu Hayo makokoro waafrika tunapenda sana kujiangalia sisi kwa wakati huu .mtu anavua hadi viluwiluwi sojui kesho atavua niniWote sawa tu hata huyo mpina hamanishi ni vile kapokonywa chakula/ uwaziri! Huyu si ndo alikuwq anachomq nyavu za wavuvi? Huyu si aliwapora wananchi hearing 300 za ardh huko moro huyu?
Baada ya kuchoma ikawaje? Sheria ilibadiloshwa!?Hata KAMA nini mimi lazima nigechoma tu Hayo makokoro waafrika tunapenda sana kujiangalia sisi kwa wakati huu .mtu anavua hadi viluwiluwi sojui kesho atavua nini
.nani wa kusikiliza ule utopolo wake. Mpina ni poyoyo tu km wewe.
Sheria ipo ya uvuvi haramuBaada ya kuchoma ikawaje? Sheria ilibadiloshwa!?
Huyo kishabi pimbi sana mi nakumbuka mh mwenyekiti mtukufu alitangaza kujitoa kwenye uchaguzi au nimesahau ndugu zanguni shoga pekee anayeweza kifikir mpina ni sawa na chama kizima cha chadema na hao mashoga wanaofikir hivyo napenda kuwapa taarifa japo kwa ufupi,
1. Ni kwamba mpina ambaye ni mbunge wa mchongo wa kisesa na toka atangazwe kibabe na mkurugenz aliyekuwepo hapa Meatu aitwaye Manoza hajawahi kurudi kwenye jimbo lake lake la mchongo hata kata zilizo njian za Sangaitinje na Isengwa kushukuru hao mnaofikir wapiga kura wake.
2. Kijana shupavu wa chadema aitwae NICHOLOUS KISHABI aliyeporwa ushindi kwa nguvu alimchachafya huyo mpina wenu mpaka akasanda solution waliyobaki nayo ni kupora uchaguz matokeo yake ofis za serikali zikachomwa moto na wapigania haki wanaojielewa.
3. Luhaga mpina alimfungulia kesi MWAMBA NICHOLOUS KISHABI akifikir atafanikiwa kuutuliza moto akahonga mahakama ya Hakimu mkazi Bariadi mwamba kishabi akahukumiwa miaka mitatu akiwa amepiga hesabu ya uchaguzi 2025 matokeo yake MAHAKAMA KUU KANDA YA SHINYANGA ikafuta hukumu ya kihuni na kishabi aliporudi wananchi wakachanga ng'ombe zaidi ya kumi watu wakala na kuchoma nyama za kutosha nyumban kwake kishabi pale Mwandoya.
Sasa mapoyoyo na mashoga ya ccm msiojua kanda ya ziwa vizuri mtaenda kuelewa uchaguzi wa 2025.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah nimecheka sana aisee. Ntumie namba yako unayojiunga vifurushi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asa mkuu hizi mb zote..utatulipia
Binadamu hamna shukurani hata kidogo!! Ukifanya hivi wanakufanya mjinga. Ndo maana Mwenyekiti wenu kaamua kutafuna tu Ruzuku za chamaWote sawa tu hata huyo mpina hamanishi ni vile kapokonywa chakula/ uwaziri! Huyu si ndo alikuwq anachomq nyavu za wavuvi? Huyu si aliwapora wananchi hearing 300 za ardh huko moro huyu?
Huyu jamaa anajiamini sana
tunamsubiri kwenye kura za maoni. 😀Mpina ni sawa na Chama kizima cha Chadema!
Katika hili nimemkubali Tulia
hahahaha hii hata hainogi, unazeeka vibayaMpina ni sawa na Chama kizima cha Chadema!
😂😆🤣😅🤚🙏👍Mpina ni sawa na Chama kizima cha Chadema!
Maigizo yameratibiwa vizuri, hata hivyo,
Tunataka KATIBA mpya na TUME HURU ya UCHAGUZI kabla ya Uchaguzi wowote.