Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Marekani bwana... Wakajidai eti wamemuua Osama Bin Laden. Kumbe uongo. Mbona hawakutuonesha mwili wake? Mbona hawakutuonesha wamemzika wapi?
Osama Bin Laden yupo sehemu. Ingawa sijui ni wapi. Ila atakuwa sehemu. Na hili nliambiwa na sheikh wangu siku ile ile ambayo Marekani walijidai wamemuua Osama. Sheikh akasema Osama mzima kabisa anakula tu tende na halua.
Nikajiuliza hawa Marekani wanadhani sisi wote hatujielewi? Osama kuna siku atajitokeza na kuongea na Umma. Tuendelee kumswalia.