Mwamba Osama Bin Laden kwa sasa atakuwa anaishi wapi? Baada ya Marekani kutudanganya

"Osama Bin Laden yupo sehemu. Ingawa sijui ni wapi. Ila atakuwa sehemu."

☝🏻☝🏻
Yani nilipofiika kwenye hii sentensi nikaacha kumalizia kusoma uzi wako.

🚮🚮🚮🚮
Viongozi embu watoe huyo....anasumbua akili
 
Marekani bwana... Wakajidai eti wamemuua Osama Bin Laden. Kumbe uongo. Mbona hawakutuonesha mwili wake? Mbona hawakutuonesha wamemzika wapi?

Osama Bin Laden yupo sehemu. Ingawa sijui ni wapi. Ila atakuwa sehemu. Na hili nliambiwa na sheikh wangu siku ile ile ambayo Marekani walijidai wamemuua Osama. Sheikh akasema Osama mzima kabisa anakula tu tende na halua.

Nikajiuliza hawa Marekani wanadhani sisi wote hatujielewi? Osama kuna siku atajitokeza na kuongea na Umma. Tuendelee kumswalia.
Nilikuwa namfurahia yule msaidizi wake Ayman al Zawahiri
 
Y
Marekani bwana... Wakajidai eti wamemuua Osama Bin Laden. Kumbe uongo. Mbona hawakutuonesha mwili wake? Mbona hawakutuonesha wamemzika wapi?

Osama Bin Laden yupo sehemu. Ingawa sijui ni wapi. Ila atakuwa sehemu. Na hili nliambiwa na sheikh wangu siku ile ile ambayo Marekani walijidai wamemuua Osama. Sheikh akasema Osama mzima kabisa anakula tu tende na halua.

Nikajiuliza hawa Marekani wanadhani sisi wote hatujielewi? Osama kuna siku atajitokeza na kuongea na Umma. Tuendelee kumswalia.
Yupo Afghanistan.
 
Wahi Mirembe kabla haujaingia
Malizia upate ujumbe mzuri ndugu yangu. Soma mpaka mwisho ndo uje tukosoane. Osama anawaangalia tu. Kuna siku ataibuka nakwambia
Wahi Mirembe kabla haujaingia stage ya kuvua boksa
 
Msikiti msikiti msikiti na rudia mara tatu .Hawa vijana wako wengi akili za aboud logo wa mombasa
Na ukubwa wako unaandika "logo" badala ya Rogo!!! Mtu mjinga hubeba chuki siku zote
 
Wahi Mirembe kabla haujaingia

Wahi Mirembe kabla haujaingia stage ya kuvua boksa

Nyie huwa mnaweza kazi za jikoni tu na kupiga umbea. Haya mambo waachie wanaume wenye uelewa.
 
Marekani bwana... Wakajidai eti wamemuua Osama Bin Laden. Kumbe uongo. Mbona hawakutuonesha mwili wake? Mbona hawakutuonesha wamemzika wapi?

Osama Bin Laden yupo sehemu. Ingawa sijui ni wapi. Ila atakuwa sehemu. Na hili nliambiwa na sheikh wangu siku ile ile ambayo Marekani walijidai wamemuua Osama. Sheikh akasema Osama mzima kabisa anakula tu tende na halua.

Nikajiuliza hawa Marekani wanadhani sisi wote hatujielewi? Osama kuna siku atajitokeza na kuongea na Umma. Tuendelee kumswalia.
Uliwah kumsikia mkewe aliyemkinga asiuawe
 
Labda kama angesema alishakufa wakaamua kuchukua credit kwa sababu alikua mtu wao ,- angalau ingeleta mashiko
 
Marekani bwana... Wakajidai eti wamemuua Osama Bin Laden. Kumbe uongo. Mbona hawakutuonesha mwili wake? Mbona hawakutuonesha wamemzika wapi?

Osama Bin Laden yupo sehemu. Ingawa sijui ni wapi. Ila atakuwa sehemu. Na hili nliambiwa na sheikh wangu siku ile ile ambayo Marekani walijidai wamemuua Osama. Sheikh akasema Osama mzima kabisa anakula tu tende na halua.

Nikajiuliza hawa Marekani wanadhani sisi wote hatujielewi? Osama kuna siku atajitokeza na kuongea na Umma. Tuendelee kumswalia.
Marangu
 
kila la heri
 
tuletee report ya investigation uliyofanya ukagundua OSAMA yupo ,maana US yao ipo tayari iliyotufafanulia jinsi walivyomuua,bila report utakuwa mzee wa conspiracy theories tu kama mimi
 
Hili alituambia sheikh wetu msikiti wa Ijumaa kipindi flani nikiwa Tz. Alisema Osama yupo mzima na anadunda tu. Marekani wamemlipa Mabilion anyamaze ale bata.
 
"Osama Bin Laden yupo sehemu. Ingawa sijui ni wapi. Ila atakuwa sehemu."

☝🏻☝🏻
Yani nilipofiika kwenye hii sentensi nikaacha kumalizia kusoma uzi wako.

🚮🚮🚮🚮
Merikani ilifanya mpango wa kumuhamishia Bin Ladan na familia yake yote katika Kisiwa cha Bahamasi/Bermuda huko ndiko anagharimiwa kila kitu na Serikali ya Merikani, huku Merikani ikiendelea kuizuga Dunia kwamba walifanikiwa kumuuawa Bin Laden kulipiza kisasi kutokana na ndege za abiria kugonga na kuporomosha majengo pacha ya biashara ya huko New York.

Wanayasema hayo huku Merikani wakijua wazi kwamba huo ulikuwa ni mpango kabambe ulio sukwa na Merikani yenyewe wakishirikiana na Israel kutafuta sababu za kumuondoa Saddam Hussein madarakani vile vile na kuivamia Afhganistani na kumuondoa Mulla Omari/Serikali ya Wateliban.

Kama nilivyo sema tangu mwanzo zoezi zima lilisukwa na Merikani yenyewe ikishirikiana Israel ndio maana siku ya tukio hakuna Muisreal hata mmoja aliye poteza maisha katika majengo hayo kwa kuwa walipewa tahadhali mapema kabla hawajaja kazini kwa hiyo siku hiyo hakuna Muisrael hapa mmoja aliye report kazini!!

Kitu kigine ukiangalia uporomokaji wa majengo yenyewe ni wazi ili ilionekana ni controlled demolition ie very high explosives zinachimbiwa kwa chini kwenye columns zinazo zunguka jengo zima halafu zinalipuliwa kwa pamoja na kusababisha implotion ie jengo zima linashuka chini kama domino na hicho ndiyo kilicho tokea hii ina maana demolition experts walihusika, ndege za abiria zisingeweza kifanya madhara kiasi hicho, sana sana majengo yangelipuka na pengine kuanguka lakini siyo kuporomoka.
 
Back
Top Bottom