Haaa ndo mnavyo danganyana huko....takbir, kobaz someni au somesheni watoto wenu ili mpunguze huo uzuzu mlionaoWe unabisha ulikuwepo?

Viongozi embu watoe huyo....anasumbua akili"Osama Bin Laden yupo sehemu. Ingawa sijui ni wapi. Ila atakuwa sehemu."
☝🏻☝🏻
Yani nilipofiika kwenye hii sentensi nikaacha kumalizia kusoma uzi wako.
🚮🚮🚮🚮
Nilikuwa namfurahia yule msaidizi wake Ayman al ZawahiriMarekani bwana... Wakajidai eti wamemuua Osama Bin Laden. Kumbe uongo. Mbona hawakutuonesha mwili wake? Mbona hawakutuonesha wamemzika wapi?
Osama Bin Laden yupo sehemu. Ingawa sijui ni wapi. Ila atakuwa sehemu. Na hili nliambiwa na sheikh wangu siku ile ile ambayo Marekani walijidai wamemuua Osama. Sheikh akasema Osama mzima kabisa anakula tu tende na halua.
Nikajiuliza hawa Marekani wanadhani sisi wote hatujielewi? Osama kuna siku atajitokeza na kuongea na Umma. Tuendelee kumswalia.
Yupo Afghanistan.Marekani bwana... Wakajidai eti wamemuua Osama Bin Laden. Kumbe uongo. Mbona hawakutuonesha mwili wake? Mbona hawakutuonesha wamemzika wapi?
Osama Bin Laden yupo sehemu. Ingawa sijui ni wapi. Ila atakuwa sehemu. Na hili nliambiwa na sheikh wangu siku ile ile ambayo Marekani walijidai wamemuua Osama. Sheikh akasema Osama mzima kabisa anakula tu tende na halua.
Nikajiuliza hawa Marekani wanadhani sisi wote hatujielewi? Osama kuna siku atajitokeza na kuongea na Umma. Tuendelee kumswalia.
😂😂😂Ndio kobazi og walivyo
Wahi Mirembe kabla haujaingia stage ya kuvua boksaMalizia upate ujumbe mzuri ndugu yangu. Soma mpaka mwisho ndo uje tukosoane. Osama anawaangalia tu. Kuna siku ataibuka nakwambia
Na ukubwa wako unaandika "logo" badala ya Rogo!!! Mtu mjinga hubeba chuki siku zoteMsikiti msikiti msikiti na rudia mara tatu .Hawa vijana wako wengi akili za aboud logo wa mombasa
Wahi Mirembe kabla haujaingia
Wahi Mirembe kabla haujaingia stage ya kuvua boksa
Hiyo Rogo ni kitu gani? Maana mnaandika kwa mafumbo.Na ukubwa wako unaandika "logo" badala ya Rogo!!! Mtu mjinga hubeba chuki siku zote
Uliwah kumsikia mkewe aliyemkinga asiuaweMarekani bwana... Wakajidai eti wamemuua Osama Bin Laden. Kumbe uongo. Mbona hawakutuonesha mwili wake? Mbona hawakutuonesha wamemzika wapi?
Osama Bin Laden yupo sehemu. Ingawa sijui ni wapi. Ila atakuwa sehemu. Na hili nliambiwa na sheikh wangu siku ile ile ambayo Marekani walijidai wamemuua Osama. Sheikh akasema Osama mzima kabisa anakula tu tende na halua.
Nikajiuliza hawa Marekani wanadhani sisi wote hatujielewi? Osama kuna siku atajitokeza na kuongea na Umma. Tuendelee kumswalia.
MaranguMarekani bwana... Wakajidai eti wamemuua Osama Bin Laden. Kumbe uongo. Mbona hawakutuonesha mwili wake? Mbona hawakutuonesha wamemzika wapi?
Osama Bin Laden yupo sehemu. Ingawa sijui ni wapi. Ila atakuwa sehemu. Na hili nliambiwa na sheikh wangu siku ile ile ambayo Marekani walijidai wamemuua Osama. Sheikh akasema Osama mzima kabisa anakula tu tende na halua.
Nikajiuliza hawa Marekani wanadhani sisi wote hatujielewi? Osama kuna siku atajitokeza na kuongea na Umma. Tuendelee kumswalia.
kila la heriMarekani bwana... Wakajidai eti wamemuua Osama Bin Laden. Kumbe uongo. Mbona hawakutuonesha mwili wake? Mbona hawakutuonesha wamemzika wapi?
Osama Bin Laden yupo sehemu. Ingawa sijui ni wapi. Ila atakuwa sehemu. Na hili nliambiwa na sheikh wangu siku ile ile ambayo Marekani walijidai wamemuua Osama. Sheikh akasema Osama mzima kabisa anakula tu tende na halua.
Nikajiuliza hawa Marekani wanadhani sisi wote hatujielewi? Osama kuna siku atajitokeza na kuongea na Umma. Tuendelee kumswalia.
tuletee report ya investigation uliyofanya ukagundua OSAMA yupo ,maana US yao ipo tayari iliyotufafanulia jinsi walivyomuua,bila report utakuwa mzee wa conspiracy theories tu kama mimiMarekani bwana... Wakajidai eti wamemuua Osama Bin Laden. Kumbe uongo. Mbona hawakutuonesha mwili wake? Mbona hawakutuonesha wamemzika wapi?
Osama Bin Laden yupo sehemu. Ingawa sijui ni wapi. Ila atakuwa sehemu. Na hili nliambiwa na sheikh wangu siku ile ile ambayo Marekani walijidai wamemuua Osama. Sheikh akasema Osama mzima kabisa anakula tu tende na halua.
Nikajiuliza hawa Marekani wanadhani sisi wote hatujielewi? Osama kuna siku atajitokeza na kuongea na Umma. Tuendelee kumswalia.
tuletee report ya investigation uliyofanya ukagundua OSAMA yupo ,maana US yao ipo tayari iliyotufafanulia jinsi walivyomuua,bila report utakuwa mzee wa conspiracy theories tu kama mimi
Merikani ilifanya mpango wa kumuhamishia Bin Ladan na familia yake yote katika Kisiwa cha Bahamasi/Bermuda huko ndiko anagharimiwa kila kitu na Serikali ya Merikani, huku Merikani ikiendelea kuizuga Dunia kwamba walifanikiwa kumuuawa Bin Laden kulipiza kisasi kutokana na ndege za abiria kugonga na kuporomosha majengo pacha ya biashara ya huko New York."Osama Bin Laden yupo sehemu. Ingawa sijui ni wapi. Ila atakuwa sehemu."