Mwamba Osama Bin Laden kwa sasa atakuwa anaishi wapi? Baada ya Marekani kutudanganya

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Marekani bwana... Wakajidai eti wamemuua Osama Bin Laden. Kumbe uongo. Mbona hawakutuonesha mwili wake? Mbona hawakutuonesha wamemzika wapi?

Osama Bin Laden yupo sehemu. Ingawa sijui ni wapi. Ila atakuwa sehemu. Na hili nliambiwa na sheikh wangu siku ile ile ambayo Marekani walijidai wamemuua Osama. Sheikh akasema Osama mzima kabisa anakula tu tende na halua.

Nikajiuliza hawa Marekani wanadhani sisi wote hatujielewi? Osama kuna siku atajitokeza na kuongea na Umma. Tuendelee kumswalia.
 
"Osama Bin Laden yupo sehemu. Ingawa sijui ni wapi. Ila atakuwa sehemu."

โ˜๐Ÿปโ˜๐Ÿป
Yani nilipofiika kwenye hii sentensi nikaacha kumalizia kusoma uzi wako.

๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Malizia upate ujumbe mzuri ndugu yangu. Soma mpaka mwisho ndo uje tukosoane. Osama anawaangalia tu. Kuna siku ataibuka nakwambia.
 
Stori za vijiwe vya kahawa hivi......pumba tupu
 
"Osama Bin Laden yupo sehemu. Ingawa sijui ni wapi. Ila atakuwa sehemu."

โ˜๐Ÿปโ˜๐Ÿป
Yani nilipofiika kwenye hii sentensi nikaacha kumalizia kusoma uzi wako.

๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Umeshindwa kumwelewa mtoa mada....hapo ameongea Kwa fasihi kwasababu kuna watu wanaamini Osama bado yupo hai kwahiyo mtoa mada amechagiza Tu mada
 
Kilaza
 
Mtungi wa gesi sh afmbili , narudia sio aftatu, ni afmbili...
 
Hii ndio shida ya watanzania,uongo,uzushi na fitna ndio maana muongo mkubwa polepole anapata wafuasi,osama aliuawa na akatupwa baharini
 
Hakuuawa na Polepole anaongea kinachofahamika muda mrefu tu now anathibitisha. Mimi nachukia anaweka wazi mambo ya sirini
 
"Osama Bin Laden yupo sehemu. Ingawa sijui ni wapi. Ila atakuwa sehemu."

โ˜๐Ÿปโ˜๐Ÿป
Yani nilipofiika kwenye hii sentensi nikaacha kumalizia kusoma uzi wako.

๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Ndio kobazi og walivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ