Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama kutua Jangwani!

Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama kutua Jangwani!

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Habari!

Kuna tetesi Mwamba wa Lusaka hadi leo hajaongeza mkataba wake katika club ya Simba.

Hawa watani wanazunguka huku na kule kujitahidi kumshawishi Mwamba kusaini ila odds zinakuwa ndogo kila siku maana hivi karibuni wameanza kuwa Waswahili.

Kwa kweli itakuwa pigo kuu na anguko kubwa kwa watani.
 
Mhindi atadata. Jk alituambia wakichukua mchezaji na nyie kachukueni. Safi sana Yanga.
Badala ya kuendelea kulalamika chukueni Chama.
 
Propaganda
FB_IMG_16051570336067575.jpg
 
Back
Top Bottom