Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama kutua Jangwani!

Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama kutua Jangwani!

Ubora wa mchezaji hatuangalii mechi moja mkuu.

Tunaangalia consistency kwa mechi anazocheza.

Tukiangalia mechi moja basi tusiweza kujua ubora wa mchezaji.
Chama hawezi contact game. Anaweza tu mchezo wa nafasi, that's why juzi na Utopolo ameshindwa coz alikabwa kotekote. Sasa huyoo mchezaji au mzigo?
 
Swala ni pesa si kubaki simba au kwenda kwingine!

Yanga kama mke aliyeachwa kila siku anahangaika kutangaza fulani kamuacha mke wake atanioa mimi.
FYI Hata chama akitoka Simba hawezi kwenda utopolo hata siku moja. Hivyo wana utopolo aka vyura aka kwasukwasu tulieni dawa iwaingie.
 
Hapo kwenye misumari hizi team ndio ukimbilia wakiona kwa makaratasi wamezidiana.
Atapigwa misumari kaka na huenda ikawa ndio mwisho wake...

Yanga watafute tu chaka jingine
 
Wamatopeni hawaelewi washike wapi!

Kama wamakonde wakikamata mwizi kwenye shamba la karanga.

Wanasema "Wakisimama N'chale, Wakikaa N'chale, Wakikimbia N'chale, Wakichuchumaa N'chale, Wakilala N'chale!"
tukitoka kwa chama tunaenda kwa mugalu...mwaka huu hadi maji muite mma
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Weka ushabiki pembeni wewe.

Haya mausajili ya mbwembwe huwa hayana matokeo mazuri kwa mchezaji na timu aendayo.

Miaka yote imekuwa hivyo tangu enzi za kina Mogella n.k.
Naomba Mungu Chama asije Yanga,mzee yule na hawezi kasi ya Yanga,abaki huko huko mkiani.
 
Wamatopeni hawaelewi washike wapi!

Kama wamakonde wakikamata mwizi kwenye shamba la karanga.

Wanasema "Wakisimama N'chale, Wakikaa N'chale, Wakikimbia N'chale, Wakichuchumaa N'chale, Wakilala N'chale!"
😂😂😂😂😂😂😂
 
Masuala ya soka ni mkataba.
Kama chama anataka kubadirisha upepo ni haki yake.
Kila mmoja huchagua akipendacho.
Hilo siyo geni, Simba ilishapoteza wachezaji kadhaa mbele ya Yanga na maisha yameendelea.
Simba ilimpoteza Method Mogela, Deo Njohore,Ranadhani Wasso, Kelvin Yondani na wengineo.
Hawa wote wameondoka wakiwa na uwezo.
Wana Simba wenzangu jiandaeni kisaikolojia.
Chama na wachezaji wengine ni wafanyabiashara, wana haki kufanya biashara na yeyote
 
Kwa hiyo kwenye hiyo mechi kulikuwa na wachezaji mizigo tu? Kama sio ni yupi aliemzidi chama kwa kuweza hiyo contact game (kupark bus) na wanafasi na kwa mantiki hiyo huko tayari kusema huyo mchezaji ni zaidi ya chama?
Chama ndiyo aliongoza kupiga pasi mechi ya juzi pasi 76 timu nzima ya yanga hakuna aliyefikia nusu ya pasi zake
 
Utopolo hawa ambao sasa hivi jengo lao linaelea juu ya maji ndio Chama aende huko.labda ungeniambia Azam ningekubali
 
Chama ndiyo aliongoza kupiga pasi mechi ya juzi pasi 76 timu nzima ya yanga hakuna aliyefikia nusu ya
Kisa hajafunga , haja assists kwenye mechi hiyo moja basi eti hafai maana eti hawezi contact game..amtaje huyo mchezaji anaemzidi chama anaeweza hiyo contact game
 
Masuala ya soka ni mkataba.
Kama chama anataka kubadirisha upepo ni haki yake.
Kila mmoja huchagua akipendacho.
Hilo siyo geni, Simba ilishapoteza wachezaji kadhaa mbele ya Yanga na maisha yameendelea.
Simba ilimpoteza Method Mogela, Deo Njohore,Ranadhani Wasso, Kelvin Yondani na wengineo.
Hawa wote wameondoka wakiwa na uwezo.
Wana Simba wenzangu jiandaeni kisaikolojia.
Chama na wachezaji wengine ni wafanyabiashara, wana haki kufanya biashara na yeyote
Yanga ndiyo walimpoteza Ramadhani Wasso na Mwinyi Rajabu.
 
Chama ni mchezaji mzuri kwa afrika mashariki lakini sio kwa wale masheikh wa kaskazini au kwa madiba ndo maana hawashoboki nae. Kama jamaa wangemtaka tena ni free agent wangembeba.
Kwa ubora alionao Chama kwa sasa hata TP Mazembe na AS Vital hawana mchezaji wa uwezo wake.
 
Back
Top Bottom