Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
- Thread starter
- #61
Chapa GSM wanataka kuteketeza ukanda wa msimbazi. Pesa sio big deal!
yanga tatizo maskini hawawezi msajili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yanga tatizo maskini hawawezi msajili
Chama hawezi contact game. Anaweza tu mchezo wa nafasi, that's why juzi na Utopolo ameshindwa coz alikabwa kotekote. Sasa huyoo mchezaji au mzigo?
Yanga kama mke aliyeachwa kila siku anahangaika kutangaza fulani kamuacha mke wake atanioa mimi.
FYI Hata chama akitoka Simba hawezi kwenda utopolo hata siku moja. Hivyo wana utopolo aka vyura aka kwasukwasu tulieni dawa iwaingie.
Atapigwa misumari kaka na huenda ikawa ndio mwisho wake...
Yanga watafute tu chaka jingine
tukitoka kwa chama tunaenda kwa mugalu...mwaka huu hadi maji muite mma
Utopolo mnashida
Yani mnahangaika sana mkimchukua chama jueni simba anakuja bora zaidi ya simba
Kitengo cha propaganda cha yanga kiko vizurii sana
Chief salama kabisa big bossMkuu heshima yako boss.
Naomba Mungu Chama asije Yanga,mzee yule na hawezi kasi ya Yanga,abaki huko huko mkiani.Weka ushabiki pembeni wewe.
Haya mausajili ya mbwembwe huwa hayana matokeo mazuri kwa mchezaji na timu aendayo.
Miaka yote imekuwa hivyo tangu enzi za kina Mogella n.k.
😂😂😂😂😂😂😂Wamatopeni hawaelewi washike wapi!
Kama wamakonde wakikamata mwizi kwenye shamba la karanga.
Wanasema "Wakisimama N'chale, Wakikaa N'chale, Wakikimbia N'chale, Wakichuchumaa N'chale, Wakilala N'chale!"
Chama ndiyo aliongoza kupiga pasi mechi ya juzi pasi 76 timu nzima ya yanga hakuna aliyefikia nusu ya pasi zakeKwa hiyo kwenye hiyo mechi kulikuwa na wachezaji mizigo tu? Kama sio ni yupi aliemzidi chama kwa kuweza hiyo contact game (kupark bus) na wanafasi na kwa mantiki hiyo huko tayari kusema huyo mchezaji ni zaidi ya chama?
Kisa hajafunga , haja assists kwenye mechi hiyo moja basi eti hafai maana eti hawezi contact game..amtaje huyo mchezaji anaemzidi chama anaeweza hiyo contact gameChama ndiyo aliongoza kupiga pasi mechi ya juzi pasi 76 timu nzima ya yanga hakuna aliyefikia nusu ya
Wengine wanazungumzia ushabiki maandazi si ajabu hata mpira hawakuonaKisa hajafunga , haja assists kwenye mechi hiyo moja basi eti hafai maana eti hawezi contact game..amtaje huyo mchezaji anaemzidi chama anaeweza hiyo contact game
Yanga ndiyo walimpoteza Ramadhani Wasso na Mwinyi Rajabu.Masuala ya soka ni mkataba.
Kama chama anataka kubadirisha upepo ni haki yake.
Kila mmoja huchagua akipendacho.
Hilo siyo geni, Simba ilishapoteza wachezaji kadhaa mbele ya Yanga na maisha yameendelea.
Simba ilimpoteza Method Mogela, Deo Njohore,Ranadhani Wasso, Kelvin Yondani na wengineo.
Hawa wote wameondoka wakiwa na uwezo.
Wana Simba wenzangu jiandaeni kisaikolojia.
Chama na wachezaji wengine ni wafanyabiashara, wana haki kufanya biashara na yeyote
Kwa ubora alionao Chama kwa sasa hata TP Mazembe na AS Vital hawana mchezaji wa uwezo wake.Chama ni mchezaji mzuri kwa afrika mashariki lakini sio kwa wale masheikh wa kaskazini au kwa madiba ndo maana hawashoboki nae. Kama jamaa wangemtaka tena ni free agent wangembeba.
Hapo ongezea na kasejaYanga ndiyo walimpoteza Ramadhani Wasso na Mwinyi Rajabu.