Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Mbona unaumia kiasi hiki? Wewe kuna mtu anakupangia maisha yako?Atakuwa mpumbavu kama akisaini hapa Tanzania tena.
Kwa kiwango alichoonesha alipaswa asogee mbele zaidi na si kubaki level ile ile.
Mmiliki we gazeti atakuwa yule kichaa anayetembea na runguNaona kichwa cha habari hapa gazeti moja kinasema atasaini Simba SC, na ametoa sababu kwanini hakusaini Yanga SC.
Weka ushabiki pembeni wewe.Mbona unaumia kiasi hiki? Wewe kuna mtu anakupangia maisha yako?
Chama ni mchezaji mzuri kwa afrika mashariki lakini sio kwa wale masheikh wa kaskazini au kwa madiba ndo maana hawashoboki nae. Kama jamaa wangemtaka tena ni free agent wangembeba.Atakuwa mpumbavu kama akisaini hapa TZ tena.
Kwa kiwango alichoonesha alipaswa asogee mbele zaidi na si kubaki level ile ile.
Hawana pesa, wataweza kumpa m16 per month?mpeni mkataba jangwani sawa mnasubiri nini
hivi wale kina kisinda wanachukua ngapi kwa mweziHawana pesa, wataweza kumpa m16 per month?
Mkataba ni siri ya mtu mkuu..hivi wale kina kisinda wanachukua ngapi kwa mwezi
vp wanasema chama analipwa m16 kwa mweziMkataba ni siri ya mtu mkuu..