Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama kutua Jangwani!

Hiyo hoja ya mwisho ya Simba kutumia pesa zaidi ya waliyotarajia naona ndio itafunga haya yote!
 
TK master kutua msimbazi
 
Basi kwa Tanzania hamna mchezaji!

Weka ushabiki pembeni mchezaji gani hapa bongo unaweza mfananisha na Chama?
Chama hawezi contact game. Anaweza tu mchezo wa nafasi, that's why juzi na Utopolo ameshindwa coz alikabwa kotekote. Sasa huyoo mchezaji au mzigo?
 
Chama hawezi contact game. Anaweza tu mchezo wa nafasi, that's why juzi na Utopolo ameshindwa coz alikabwa kotekote. Sasa huyoo mchezaji au mzigo?
Kwa hiyo kwenye hiyo mechi kulikuwa na wachezaji mizigo tu? Kama sio ni yupi aliemzidi chama kwa kuweza hiyo contact game (kupark bus) na wanafasi na kwa mantiki hiyo huko tayari kusema huyo mchezaji ni zaidi ya chama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…