Timu ya Taifa tu hayumo....unataka aende wapi!!!...hapa ndio kafika haswa kwa wananchi.Atakuwa mpumbavu kama akisaini hapa Tanzania tena.
Kwa kiwango alichoonesha alipaswa asogee mbele zaidi na si kubaki level ile ile.
Kaseja simba walimpoteza kisha akarudi baada ya msimu mmoja.Hapo ongezea na kaseja
Timu ya Taifa hayumo kwa sababu za binafsi na Mwalimu wake.Timu ya Taifa tu hayumo....unataka aende wapi!!!...hapa ndio kafika haswa kwa wananchi.
Square passes bwa bwa ...dk 45 za mwanzo hakuna shot on target....Kile ndio kiwango Chenu labda marefa wawabebe kama misimu iliyopitaChama ndiyo aliongoza kupiga pasi mechi ya juzi pasi 76 timu nzima ya yanga hakuna aliyefikia nusu ya pasi zake
Ameitwa timu ya taifaTimu ya Taifa hayumo kwa sababu za binafsi na Mwalimu wake.
Hata hivyo National team ana nafasi ya uhakika pamoja na uwepo wa wachezaji wazuri kama Patson Daka
Nakuunga mkono asilimia [emoji817] lakini kwakua hatujui mpira tutatukana mpaka tukome,, Chama wakawaida sana,..labda konde boyChama hamna mchezaji pale, though mimi in Simba
Simba si wameweka price tag sasa wasiwasi wa nini tena ?Habari!
Kuna tetesi Mwamba wa Lusaka hadi leo hajaongeza mkataba wake katika club ya Simba.
Hawa watani wanazunguka huku na kule kujitahidi kumshawishi Mwamba kusaini ila odds zinakuwa ndogo kila siku maana hivi karibuni wameanza kuwa Waswahili.
Kwa kweli itakuwa pigo kuu na anguko kubwa kwa watani.
😆😆Habari!