Echolima1 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 9,662 Reaction score 8,023 Jul 31, 2026 #1 Waziri Mkuu Netanyahu na Rais wa Ukraine Zelensky walionekana wakizungumza wakati wa ziara yake Washington katika tukio la nadra sana kuonekana Your browser is not able to display this video.
Waziri Mkuu Netanyahu na Rais wa Ukraine Zelensky walionekana wakizungumza wakati wa ziara yake Washington katika tukio la nadra sana kuonekana Your browser is not able to display this video.
AI BRAINFULL JF-Expert Member Joined Oct 31, 2019 Posts 2,122 Reaction score 5,319 Jul 31, 2026 #2 Wote hao ni omba omba ila kuna mmoja anajifanya masikin jeuli
Echolima1 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 9,662 Reaction score 8,023 Jul 31, 2026 Thread starter #3 Lizo mkristu said: Wote hao ni omba omba ila kuna mmoja anajifanya masikin jeuli Click to expand... Magaidi wa Iran wanapotembeza bakuli huko China na Urusi wewe huoni maana ni mjinga kupitiliza!! Ulitaka wakuombe nini wewe?
Lizo mkristu said: Wote hao ni omba omba ila kuna mmoja anajifanya masikin jeuli Click to expand... Magaidi wa Iran wanapotembeza bakuli huko China na Urusi wewe huoni maana ni mjinga kupitiliza!! Ulitaka wakuombe nini wewe?
T The_Analyst JF-Expert Member Joined Nov 25, 2008 Posts 246 Reaction score 88 Jul 31, 2026 #4 Echolima1 said: Magaidi wa Iran wanapotembeza bakuli huko China na Urusi wewe huoni maana ni mjinga kupitiliza!! Ulitaka wakuombe nini wewe? Click to expand... Umepanic
Echolima1 said: Magaidi wa Iran wanapotembeza bakuli huko China na Urusi wewe huoni maana ni mjinga kupitiliza!! Ulitaka wakuombe nini wewe? Click to expand... Umepanic
Echolima1 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 9,662 Reaction score 8,023 Jul 31, 2026 Thread starter #5 The_Analyst said: Umepanic Click to expand... Safari hii mtanyooka tu!!
M makoye sr JF-Expert Member Joined Sep 13, 2024 Posts 308 Reaction score 499 Jul 31, 2026 #6 Netanyahu, mwamba kweli kweli wa mashariki ya kati
Keyboard_Warrior JF-Expert Member Joined Oct 10, 2015 Posts 6,381 Reaction score 11,296 Jul 31, 2026 #7 Naona mnapeana zamu na kijana wako Brother Depo Safi kabisa, mabandiko yasiingiliane!