Mwamba Waziri Mkuu wa Israel akiongea na Volodomyr Zelensiky huko Washington!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Waziri Mkuu Netanyahu na Rais wa Ukraine Zelensky walionekana wakizungumza wakati wa ziara yake Washington katika tukio la nadra sana kuonekana

Your browser is not able to display this video.
 
Wote hao ni omba omba ila kuna mmoja anajifanya masikin jeuli
 
Wote hao ni omba omba ila kuna mmoja anajifanya masikin jeuli
Magaidi wa Iran wanapotembeza bakuli huko China na Urusi wewe huoni maana ni mjinga kupitiliza!!

Ulitaka wakuombe nini wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…