Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
- Thread starter
- #21
Daaah mkuu unakumbukaUle uzi wa Reptilia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah mkuu unakumbukaUle uzi wa Reptilia
Kama una Chupayamaji ungepooza kwanza kooNimefungua uzi nikaanza kuscroll ili nione kama ni kafupi ili nikasome.Kumbe ni mnara wa babeli
Kaza bhana,be a manVinjiwa
To yeye
Sawa mkuuKaza bhana,be a man
Umesoma kweli au umeona ni gazeti😅😅😅Kumlilia mwanamme mwenzio kisa mwanamke ni udhaifu zaidi ya udhaifu.
But why[emoji23]Why mnara lakini[emoji28][emoji28]
Nimeishia hapo wizara XUmesoma kweli au umeona ni gazeti😅😅😅
Kabisa mkuuKama una Chupayamaji ungepooza kwanza koo
Nipe namba zao mkuu[emoji2][emoji2][emoji2] haya mashairi ungeshare na Marioo au v vanny boy angekutolea wimbo mmoja hatari sana !!!
😅😅😅Nimeishia hapo wizara X
But why[emoji23]
Kwelii mkuuTafuta hela mkuu hawa viumbe kuwaelewa ni ngumu sana
😅😅😅😅Kheeeh! nimeishia kwenye Shimboni Shafoo maandazi yakija ntamalizia!
Dah.... Punguza mwendo mrembo.... Kwa mwandiko huu....usishangae kesho akarudi na Uzi mwingine...."Mnaotaka tuachane mtasubiri sana" 🤣🤣🤣🤣Move on huyo mwanamke hakufai kabisa, pole that's life