Mwambie mimi ni mwanaume mwenziye ananiumiza

Mwambie mimi ni mwanaume mwenziye ananiumiza

Dah.... Punguza mwendo mrembo.... Kwa mwandiko huu....usishangae kesho akarudi na Uzi mwingine...."Mnaotaka tuachane mtasubiri sana" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23]
 
[emoji2][emoji2][emoji2] haya mashairi ungeshare na Marioo au v vanny boy angekutolea wimbo mmoja hatari sana !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata sijasoma sana, ila nacheka tyuuh.
 
Looooh............haya Mambo yako Bro!, hio sio mwanzo ns sio mwisho..hata hao wanao kucheka pia washapitia, najua ni hali ngumu sana unayopitia, lakini usijali itafika wakati uta hadithia wengine. Wengi tumepita njia hio hio, kwa sasa ni hadithi.
Ni hali ya mpito, na itapita.

Napenda nikuambie huyo hakua wako, wako bado atakuja....!

Jaribu sana kutoa mafikra ya huyo mtu na ujikaze na Kazi kwa sana, yatapita.

Usijilaumu na usilaumu, chukulia huo kama mtihani na utaweza kuupita!!!

Nawaslilisha.
 
Unaanzaje kuingia kwenye mapenzi kama huna mtaji...
 
Back
Top Bottom