Mwambie mimi ni mwanaume mwenziye ananiumiza

Si uliwakuta wameanza kulana? Ukajitia kidume upindue meza. Imegoma kupinduka endelea kula makombo.
 
Mngeenda kuambizana hukoo,kama mlivyobebana kimyakimya.Afu sijui mnadhani mna matatizo pekeyenu humu??!!
Hahahaaa,acha watu wasuuze mioyo yao kwa kutema nyongo, maisha ni kufurahi kama akisema anafurahi mwache tafadhali
 
Hahahaaa,acha watu wasuuze mioyo yao kwa kutema nyongo, maisha ni kufurahi kama akisema anafurahi mwache tafadhali
For sure kila mtu ana namna yake ya kupata furaha ..so asimpangie
 
Relationship advice: "In relationship there are three people, but make sure you are the third guy"... Kigogo is the third guy enjoying life
 
Duh hii ni aina gani ya mashairi watu wa lugha?au ndo yale mnaita ya kimapokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…