Mwambieni asithubutu kukata Rufaa au kuitisha Press Conference ya kufanya 'Counter' kwani yatamkuta Makubwa zaidi

Mwambieni asithubutu kukata Rufaa au kuitisha Press Conference ya kufanya 'Counter' kwani yatamkuta Makubwa zaidi

Kumekuchaaaaa[emoji16][emoji16]
1658428746678.jpg
 
Na tff wamemwambia ana nafasi ya kukata rufaa ndani ya siku 24...huo ni mtego anaweza kupigwa ban mbaya zaidi ya hii....
Alivyo Mpumbavu na mpenda Sifa najua tu kuwa atakata Rufaa na hapo sasa ndipo atajua kwanini Nyoka hana Ugoko au kwanini Wimbo wa Taifa hauna Kolabo.
 
Nasikia secretariat ya TFF itakatia rufaa hukumu aliyopewa ni laini sana kulingana na kosa alilokiri mwenyewe kulitenda na kwa kuzingatia pia huyu kiumbe ni mzoefu wa makosa haya na ana record chafu ya kugombana na waandishi wengi wa habari za michezo.
Na ndiyo maana nimemuonya mapema.
 
uyo kiboko yake ni jerry mulo yule ndiye chizi mwenzake japo amekuja nyumbani yanga ila uyu jamaa GSM walitukosea sana kutuletea uyu jamaa wakamtosa Nugaz tuliyepambana nae kipindi tuko vibaya kiuchumi alikubali kuitwa majina yote na manara lakini ukumsikia akitukana wala kumvunjia heshima manara ..manara ujiona yeye ni mkubwa zaidi ya chochote apa tanzania alishawai kutuita yanga kuwa ukimtoa Baba yake na mzee jakaya wote tuliobaki hatuna akili alafu mtu uyo uyo GSM wakatuletea nawalaumu TFF adhabu waliyompa ni ndogo ilitakiwa apigwe angalau 5yrs
Huenda Wewe ndiyo ukawa mwana Yanga SC mwenye Akili Kubwa ( Intelligent ) hapa Jamiiforums nzima tofauti na akina Frank Wanjiru na Wenzake. Heko sana Mkuu
 
TFF badala ya kukaa na kutafakari jinsi ya kuendeleza soka nchini, wako bize kumdiscuss MTU mmoja kisa kajitoa Simba wakati wao ni Simba damu.
Tell me, kumfungia Manara kutaendelezaje soka Tanzania?
 
uyo kiboko yake ni jerry mulo yule ndiye chizi mwenzake japo amekuja nyumbani yanga ila uyu jamaa GSM walitukosea sana kutuletea uyu jamaa wakamtosa Nugaz tuliyepambana nae kipindi tuko vibaya kiuchumi alikubali kuitwa majina yote na manara lakini ukumsikia akitukana wala kumvunjia heshima manara ..manara ujiona yeye ni mkubwa zaidi ya chochote apa tanzania alishawai kutuita yanga kuwa ukimtoa Baba yake na mzee jakaya wote tuliobaki hatuna akili alafu mtu uyo uyo GSM wakatuletea nawalaumu TFF adhabu waliyompa ni ndogo ilitakiwa apigwe angalau 5yrs
Safi sana Mtani, Tusimame kwenye Maadili.
 
Mi nikimuona hata huku kweny chandimu natoa taarifa polisi
mi hata nikumwona tu amebeba mpira natoa taarifa polisi na TFF,ameambiwe asijihusishe kabisa na mpira.
 
mi hata nikumwona tu amebeba mpira natoa taarifa polisi na TFF,ameambiwe asijihusishe kabisa na mpira.
Utamuonea wapi?
Mwenzio Yuko na walamba asali wewe uko Mbagala Kichemchem unauza utumbo.
 
Back
Top Bottom