Mwambieni asithubutu kukata Rufaa au kuitisha Press Conference ya kufanya 'Counter' kwani yatamkuta Makubwa zaidi

Miezi 24 siyo mingi sana kama ukiwa Unakunywa sana Bia au Unavuta Bangi au Unabwia mno Ugolo wa Mwarabu Buguruni Malapa na Ilala Bungoni au pale katika Balcony Ghorofani Masaki jirani na Slip Way.
Haha kumbe simba mnakerwa kiasi hiki na Manara mtani?😂😂😂

Acha upopoma rufaa itakatwa na atashinda
 
Miezi 24 siyo mingi sana kama ukiwa Unakunywa sana Bia au Unavuta Bangi au Unabwia mno Ugolo wa Mwarabu Buguruni Malapa na Ilala Bungoni au pale katika Balcony Ghorofani Masaki jirani na Slip Way.
Subiri kidogo itajua nguvu ya manara
 
uyo kiboko yake ni jerry mulo yule ndiye chizi mwenzake japo amekuja nyumbani yanga ila uyu jamaa GSM walitukosea sana kutuletea uyu jamaa wakamtosa Nugaz tuliyepambana nae kipindi tuko vibaya kiuchumi alikubali kuitwa majina yote na manara lakini ukumsikia akitukana wala kumvunjia heshima manara ..manara ujiona yeye ni mkubwa zaidi ya chochote apa tanzania alishawai kutuita yanga kuwa ukimtoa Baba yake na mzee jakaya wote tuliobaki hatuna akili alafu mtu uyo uyo GSM wakatuletea nawalaumu TFF adhabu waliyompa ni ndogo ilitakiwa apigwe angalau 5yrs
Nugaz ni mtu wa dini
 
Wewe ni utopolo mwenye akili ya kujielewa. Wengine hawana akili kama Manara alivyosema
 
Manara atachakaa narudia atachakaa. Atulize meno ugoro chini Au akiona chungu sana ajichune ngozi auze. Bumbafuuu
Manara atakushangaza subiri.
Ipo siku hii post itaheshimiwa.
 
Kapelekwa keko leo asbhi kutumikia iyo adhabu yake
20220722_105250.jpg
 
Manara atachakaa narudia atachakaa. Atulize meno ugoro chini Au akiona chungu sana ajichune ngozi auze. Bumbafuuu
Manara hachakai Wala hachuji.
Manara mtoto wa mjini hata wewe ushahidi unaujua.
 
Back
Top Bottom