Mwambieni asithubutu kukata Rufaa au kuitisha Press Conference ya kufanya 'Counter' kwani yatamkuta Makubwa zaidi

Na tff wamemwambia ana nafasi ya kukata rufaa ndani ya siku 24...huo ni mtego anaweza kupigwa ban mbaya zaidi ya hii....
Alivyo Mpumbavu na mpenda Sifa najua tu kuwa atakata Rufaa na hapo sasa ndipo atajua kwanini Nyoka hana Ugoko au kwanini Wimbo wa Taifa hauna Kolabo.
 
Na ndiyo maana nimemuonya mapema.
 
Huenda Wewe ndiyo ukawa mwana Yanga SC mwenye Akili Kubwa ( Intelligent ) hapa Jamiiforums nzima tofauti na akina Frank Wanjiru na Wenzake. Heko sana Mkuu
 
TFF badala ya kukaa na kutafakari jinsi ya kuendeleza soka nchini, wako bize kumdiscuss MTU mmoja kisa kajitoa Simba wakati wao ni Simba damu.
Tell me, kumfungia Manara kutaendelezaje soka Tanzania?
 
Safi sana Mtani, Tusimame kwenye Maadili.
 
Mi nikimuona hata huku kweny chandimu natoa taarifa polisi
mi hata nikumwona tu amebeba mpira natoa taarifa polisi na TFF,ameambiwe asijihusishe kabisa na mpira.
 
mi hata nikumwona tu amebeba mpira natoa taarifa polisi na TFF,ameambiwe asijihusishe kabisa na mpira.
Utamuonea wapi?
Mwenzio Yuko na walamba asali wewe uko Mbagala Kichemchem unauza utumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…