Mwambieni CAG, sisi tumeridhika kwa kuwa tumezoea kuibiwa

Natamani niweke like miakenda.

Well said bro.. Nakuunga mkono kwa % 100 jambo la maana hapa nikwamba sisi watanzania sio wajinga tuna macho na tunaona.

Kuna watu hawana aibu hata chembe kweli njaa mbaya sana, yani wanajaribu kumchafua mtu aliepambana kuonyesha kwamba tunaweza kufanya mambo makubwa sisi kama nchi.
Tena kwa mifanohai na kwamudamfupisana.

Mungu amlaze pema JPM.
 
Sasa kosa la CAG ni nini? Yeye kawakagulia pesa zenu na kuwapa taarifa kama mnaendeleana ujinga wenu endeleeni
Taarifa zote zilizopita na kuonyesha kwamba wizi mkubwa sana ulifanyika, kipi kilifanyika?Wizi huu aliouibua sasa ni kidogo sana compared to what has been done.So kwa kuwa hakuna litakolofanyika kama huko nyumaa,tumeridhika na utendaji wa Magufuli.Serikali ya awamu ya tano iliyofanya ni makubwa mno.Waiache.
 
CAG katumwa sio bure. Report gani ile kila kitu kibaya. Sijasikia jambo zuri lolote kwenye hiyo report. Kwa nn ofisi ya makamu wa raisi na bunge hakuna!!
MAtaga tuko na JPM forever.
 
Wewe ni punguani?
 
kwa uache kukopi mashair kwa veronica. pili muandikia CAG barua. si mnajua office yake ilipo? mpelekeeni yeye
 
Alafu anaandika TUMERIDHIKA
Mbona uliridhika kuibiwa na Mkapa na Kikwete sembuse Magu aliyefanya makubwa kwa nchi yake hata kama kaiba!Watanzania hamjitambui,hamjui mahitaji yenu and you are too egocentric.
 
usiseme tume. sema ww umeridhika. CAG hana kosa lolote. kaleta taarifa kama alivyo agizwa na mheshimiwa rais SSH.
yaliyomo yamo. kazi yake si ukaguzi, udhibiti ni serikali kuu pamoja na bunge. yeye kishamaliza jukumu lake.
 
CAG katumwa sio bure. Report gani ile kila kitu kibaya. Sijasikia jambo zuri lolote kwenye hiyo report. Kwa nn ofisi ya makamu wa raisi na bunge hakuna!!
MAtaga tuko na JPM forever.
tatizo report za CAG mmeanza kuziona juzi.
hii report haisifii,haishutumu mtu. ina highlight matumizi ya pesa ya serikal na taasisi zake.
 
usiseme tume. sema ww umeridhika. CAG hana kosa lolote. kaleta taarifa kama alivyo agizwa na mheshimiwa rais SSH.
yaliyomo yamo. kazi yake si ukaguzi, udhibiti ni serikali kuu pamoja na bunge. yeye kishamaliza jukumu lake.
Wewe ni karai la mabeberu na mafisadi hamna la maana. Mnachohangaikia ni matumbo yenu,sio Watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…