Mwambieni CAG, sisi tumeridhika kwa kuwa tumezoea kuibiwa

Akili yako ilivyo ndogo hata hujui,kalale you do not deserve to argue with me.The fact that unapigia upatu in any way mabepari inaonyesha kwamba you are so low in your thinking capacity.
Rudi kawaulize wajinga wenzio huko uliko copy huu utumbo wako. Waulize hivi hii vita tunapigana na nani 😄
 
Huna haki ya kutuwakilisha Watanzania wote kwenye mambo yako ya hovyo hovyo.
I believe Watanzania wengi wana mtizamo kama wangu,na ndio maana maombolezo ya Magu yakawa historical.Hivi mmeshaona lini maombolezo watu wakatandika nguo zao barabarani.Ni Bwana Yesu peke yake alipata mapokezi ys namna hiyo.

Kwanza hamna hata aibu,yaani mnawa betray Watanzania wazi wazi.Ajabu sana.
 
Sasa kama mmeridhika kuibiwa kwa nini mnampigia kelele CAG?! Badala ya kumpigia kelele yeye mlitakiwa muwaambie hivyo CHADEMA na ACT
 
Sisi watanzania wazalendo wa kweli tunajua tunachokitaka na Mungu wetu anajua tunachokitaka.

Nina mashaka na uraia wako.
Mpuuzi kabisa.Unashabikia majizi ya rasilimazi zetu,halafu unasema ni Mtanzania!Ndio maana nasema Watanzania hatujitambui.
 
Na majizi ya CHADEMA yanayoshindwa kutumia ruzuku kujenga ofisi ya chama,badala yake yanagawa ruzuku kwa nyumba ndogo!!
Sasa chadema inaingiaje hapo..ndo iliandika ripot ya CAG? Mbona kama umepagawa na kuvurugwa kwa wakati mmoja!
 
Wewe na wajinga wenzio wepi

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu CAG sio chama Cha siasa kias kwamba kikafumbia macho. Nikweli Kuna manufaa kwa upande wa wananchi japo si 100% lakini kumbuka ili hayo manufaa yaendelee kupatikana lazima vyanzo vyake vitumiwe kwa weredi.
 
Acheni kudanganya watu!

Awamu gani ya serikali haijatekeleza miradi nchi hii? Kila awamu imefanya mambo makubwa. Tatizo lenu,mlikuwa mnadanganya watu huku mmezuia vyombo vya habari huru kuwa ambia ukweli watu. Magufuli ameongeza deni la taifa kutoka trl 24 alipoingia madarakani mpaka trl 59 wakati anafariki, huku akidanganya watanzania kwamba miradi inatekelezwa kwa pesa za ndani!

Magufuli amenunua ndege cash trl 1.3 bila kufuata utaratibu wa manunuzi wa serikali....wala idhini ya bunge...huo ndio uzalendo?

Hebu acheni kututia hasara bure na propaganda zenu. Tumuunge mkono raisi wetu mpya Mama Samia Suluhu Hassan atawale kwa haki na kutengeneza mifumo bora ya serikali. Hatutaki one man show,hatutaki udikiteta. Tanzania ni nchi ya waungwana.

HAKI HUINUA TAIFA
 
CAG katumwa sio bure. Report gani ile kila kitu kibaya. Sijasikia jambo zuri lolote kwenye hiyo report. Kwa nn ofisi ya makamu wa raisi na bunge hakuna!!
MAtaga tuko na JPM forever.
Mtanyooka tu na propaganda zenu!

Zama zimebadilika. Hakuna kutekana tena wala kubambikiana kesi za uhujumu uchumi.
 
Sasa chadema inaingiaje hapo..ndo iliandika ripot ya CAG? Mbona kama umepagawa na kuvurugwa kwa wakati mmoja!
Nimejibu comment mkuu,tafuta comment ambayo nimetolea jibu hili,utaelewa kwa nini.
 
Hili ni bandiko bora la karne aseee wewe ni zaidi ya simba wa mbuga ya serengeti.
 
Mimi ni mtanzania na nina haki ya kutoa mawazo yangu.Nimeridhika na wizi wa Magufuli,kwa kuwa hata kama kaiba,ila nimeona alichofanya,tena kikubwa.Wengine walishibisha matumbo yao,familia zao na kugawa bure mali za Watanzania kwa mabeberu.
Certified idiot
 
Mimi ni mtanzania na nina haki ya kutoa mawazo yangu.Nimeridhika na wizi wa Magufuli,kwa kuwa hata kama kaiba,ila nimeona alichofanya,tena kikubwa.Wengine walishibisha matumbo yao,familia zao na kugawa bure mali za Watanzania kwa mabeberu.
Ulitakiwa kusema umeridhika na si kutujumuisha wote kuwa tumeridhika na wezi wa magufuli na wanaccm wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…