Mwambieni Katelephone, bahari hii siyo ile. Hii hawahitajiki samaki wenye meno ni ama ayang'oe au ajifanye hana!

Mwambieni Katelephone, bahari hii siyo ile. Hii hawahitajiki samaki wenye meno ni ama ayang'oe au ajifanye hana!

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Nadhani tunaelewana kwamba kwenye ukumbi huu dj ni mmoja TU! Na muziki unaotakiwa kuchezwa humu ni taarabu TU au mziki wowote wenye mahadhi ya kingazija! Haiitajiki kelele au kutupatupa mikono ama kuruka majoka.

Ma dj wetu kutoka bara wamechemka wakapigwa benchi, si mnamkumbuka lukuvo na kabudo? Mziki wa taarabu wao wakawa wanacheza leggae! Jobo aliambiwa apige taarabu akaanza kupiga singeli ya Mzee wa bwax akatupwa nje.

Bahari hii haihitaji samaki wenye meno! Maana chakura kilichopo tunagawana sawa, na mtoto wa miezi miwili anapakuliwa kwa kipimo kilekile cha wazee wa miaka 64 Mungu aturehemu! Mama hataki mtu apunjwe!
 
Bado hamtakikukubali kwamba sasa hv kundi lenu halipo tena madarakani bado mnaweweseka tu.
 
Back
Top Bottom