Mwamnyeto kuzikosa mechi muhimu sana za Al-Merreikh ni fundisho kwake na wazawa

Unayo hoja ya msingi sana.
Usikilizwe japo watu makini pekee warakuelewa
 
Haya ndiyo madhara ya bangi Mkuu. Sijui kama utapona.
Baangiiiiii imekudhuru SANAAAA
 
Wewe ni mpuuzi sana, huwajui wazungu na wala hujawahi kuishi na wazungu, tuliize tulioishi uzunguni na kufanya kazi na Wazungu.

Kwa wazungu Family first, ndio priority number moja kwao.
 
Kama mwajiri wake alimruhusu, sioni kama kuna tatizo wala funzo hapo.
Una mtoto mdogo/mchanga analelewa na house girl wakati wazazi wanakwenda kazini kila siku, asubuhi unaamka mfanyakazi wako anakwambia nataka kwenda nyumbani baba yangu ana homa, utafanya nini kati ya haya yafuatayo: Je, utamruhusu aende zake ili wewe usiende kazini kazini kwasi, wiki na mwezi huo? Je, utamwambia subiri kidogo nitafute mtu mwingine wa kukaa na mtoto? Je, utamwambia subiri uondoke weekend/likizo wakati mama haendi kazini? Je, unadhani uongozi ulikuwa very happy kumruhusu mchezaji aende nyumbani siku 1 kabla ya mechi na Al-merreikh? Je, kocha alijisikiaje, raha au huzuni? Je, walimruhusu aende kwakuwa mchezaji ameomba au walimruhusu kwakuwa timu ina mchezaji mwingine mzuri kama au kuliko Mwamnyeto?
 
Shabiki maandazi. Kwa nini usiwe kocha?
 
Sasa kama hujui ukubwa wa tatizo unalalama nini? Ukubwa wa tatizo unatofautiana kadri unavyolichukulia. Tatizo kubwa kwako linaweza kuwa dogo Kwa mwingine. Tuheshimu maamuzi ya Mwanyeto ana akili timamu.
 
Wewe ni mpuuzi sana, huwajui wazungu na wala hujawahi kuishi na wazungu, tuliize tulioishi uzunguni na kufanya kazi na Wazungu.

Kwa wazungu Family first, ndio priority number moja kwao.
ACHA utani,mwaka 2016 Kalidou Koulibaly mke wake alikua yupo labor anatakiwa kujifungua,siku hiyo wana game na sassuolo akamwambia Coach Sarri ampe ruhusa akamuangalie mke wake anajifungua mtoto wao wa Kwanza..Sarri akamgomea katakata na kweli hajaenda,na hakupangwa dk zote 90 bench....so hisia na kua professional vitu viwili tofauti niffah
 
Wewe ni mpuuzi sana, huwajui wazungu na wala hujawahi kuishi na wazungu, tuliize tulioishi uzunguni na kufanya kazi na Wazungu.

Kwa wazungu Family first, ndio priority number moja kwao.
wewe ni mjinga sana, tena mjinga kwelikweli hata hao wazungu huwajui kabisaa. Mzungu familia yake ni yeye, mke/mume na mtoto. mzazi wake sio saaana, na ndiyo maana wazazi wakizeeka wanapelekwa kulelewa hukooo kwa vikongwe mbali na familia yake. Hii ni tofauti na sisi ambao tunaburuzana na vikongwe wetu majumbani mwetu tukiwasaidia hiki na kile (uswahili). Kama huyo aliyemfanya akose mechi muhimu angekuwa ni mke au mtoto wake nisingeandika mada hii. Vijana wengi wako ng'ambo huko kusaka maisha na kuwaacha wazazi wao huko vijijini kwao, kwanini hawaendi na wazazi nao huko ulaya?
 
Mental case.
 
Hivi ni vihoja tu, hakuna hoja hapo ni upuuzi mtupu.

Shabaan Nonda alikodiwa ndege na Monaco kutoka Congo kwenda kutibiwa mafuwa Ufaransa.
ndo umesema nini, nonsense, uswahili tu wa local players, na anaweza kulisugua benchi kwa uswahili kama ule. Ajali aliyopata Che Malone, angekuwa ni mswahili asingecheza mechi na dyanamos, angetumia muda huo kwenye kwa waganga kupiga ramli ya why me?
 
Kujifunguwa ni ugonjwa? Labda Africa.
 
ndo umesema nini, nonsense, uswahili tu wa local players, na anaweza kulisugua benchi kwa uswahili kama ule. Ajali aliyopata Che Malone, angekuwa ni mswahili asingecheza mechi na dyanamos, angetumia muda huo kwenye kwa waganga kupiga ramli ya why me?
Mental case.
 
Mental case.
nyie ndio wale wenye excuse nyingi za kipumbavu makazini huku mkilipwa mishahara ya bure bila kazi. Mara jirani kafa, mala baba amejamba vibaya leo visivyo kawaida yake, mara mjomba mara hawala.
 
nyie ndio wale wenye excuse nyingi za kipumbavu makazini huku mkilipwa mishahara ya bure bila kazi. Mara jirani kafa, mala baba amejamba vibaya leo visivyo kawaida yake, mara mjomba mara hawala.
Umenichekesha sana mkuu
 
nyie ndio wale wenye excuse nyingi za kipumbavu makazini huku mkilipwa mishahara ya bure bila kazi. Mara jirani kafa, mala baba amejamba vibaya leo visivyo kawaida yake, mara mjomba mara hawala.
Pumbavu kabisa, unadhani kila mtu ni tutusa kama wewe wa kutegemea kuajiliwa?
 
Pumbavu kabisa, unadhani kila mtu ni tutusa kama wewe wa kutegemea kuajiliwa?
OOoh! kama wewe hujaajiliwa lakini Bakari ameajiliwa kule yanga, au na hilo hulijui? zezeta.
 
Mwanyeto ni mzungu?
 
OVyoo kabisa,bima itamvalisha pampasi au kunpikia uji,we ni jatili sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…