Mwampamba na Shonza yameanza kuwakuta yale ya Shaibu na Tambwe Hiza CCM

Mwampamba na Shonza yameanza kuwakuta yale ya Shaibu na Tambwe Hiza CCM

bluetooth23

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
348
Reaction score
326
Kama mnakumbuka aliyekuwa katbu mkuu wa CCM mzee Yusuph Rajab Makamba aliwah kufanya usajil kutoka CUF akawachukua Shaibu na Tambwe Hiza.

Hawa jamaa ndo waasisi wa siasa za matusi, walisajiliwa CCM si kujibu hoja kwa hoja bali hoja ijibiwe na matusi na uhodari wao wa propaganda za matusi ndo sababu ya Makamba kuwamega CUF na akawaleta CCM wasaidie kujibu mapigo ya wapinzani na walishnda kwenye radio na magazeti kila siku kujibu wapinzani, walipokelewa CCM kwa shangwe za kufa mtu ila sasa walitupwa kama takataka na hawajulikani walipo.

Sasa Kinana na Mwigulu wamefanya usajili wa Shonza na Mwampamba waliofukuzwa CHADEMA na wakapokelewa kwa mbwembwe na kupga pcha na Kikwete, wakawatukana kwa matuc viongoz wa CHADEMA majukwaani na kujbu hoja kwa matusi.

Kibao kimegeuka baada ya kushndwa Arusha na kata ya nyumban kwao Iyela Mbeya. Viongoz wa juu CCM wamehoj kwa nin Mwigulu amewatumia hawa mamluk wasiopendwa na wananch na wakalipwa perdiem? Ameagzwa asiwatumie tena wabak wanachama wa kumiliki kadi.
 
Kama mnakumbuka aliyekuwa katbu mkuu wa CCM mzee Yusuph Rajab Makamba aliwah kufanya usajil kutoka CUF akawachukua Shaibu na Tambwe Hiza, hawa jamaa ndo waasisi wa siasa za matusi, walisajiliwa CCM si kujibu hoja kwa hoja bali hoja ijibiwe na matusi na uhodari wao wa propaganda za matusi ndo sababu ya Makamba kuwamega CUF na akawaleta CCM wasaidie kujibu mapgo ya wapnzani na walishnda kwny radio na magazeti kila cku kujbu wapinzani, walipokelewa CCM kwa shangwe za kufa mtu ila sasa walitupwa kama takataka na hawajulikani walipo. Sasa Kinana na Mwigulu wamefanya usajili wa Shonza na Mwampamba waliofukuzwa CDM na wakapokelewa kwa mbwembwe na kupga pcha na Kikwete, wakawatukana kwa matuc viongoz wa CDM majukwaani na kujbu hoja kwa matusi. Kibao kimegeuka baada ya kushndwa Arusha na kata ya nyumban kwao Iyela Mbeya. Viongoz wa juu CCM wamehoj kwa nin Mwigulu amewatumia hawa mamluk wasiopendwa na wananch na wakalipwa perdiem? Ameagzwa asiwatumie tena wabak wanachama wa kumiliki kadi. What goz around comes around

Shonza aliahidiwa ubunge wa viti maalumu au ukuu wa wilaya ngoja tusubiri
 
Sioni kichwa wala miguu kwenye huo udaku uliotuletea.
 
shonza ataenda manzese uwanja wa fisi kuendelea na biashara yake,na Ntella ataenda kulima maharage kwao-hii ndo zawadi ya usaliti kwa watu wenye akili ndoto,uwezo mdogo wa kufikiria,wametumika kama toilet paper au condom wakatupwa
 
156395_547413758655490_286445152_n.jpg
 
Kama mnakumbuka aliyekuwa katbu mkuu wa CCM mzee Yusuph Rajab Makamba aliwah kufanya usajil kutoka CUF akawachukua Shaibu na Tambwe Hiza, hawa jamaa ndo waasisi wa siasa za matusi, walisajiliwa CCM si kujibu hoja kwa hoja bali hoja ijibiwe na matusi na uhodari wao wa propaganda za matusi ndo sababu ya Makamba kuwamega CUF na akawaleta CCM wasaidie kujibu mapgo ya wapnzani na walishnda kwny radio na magazeti kila cku kujbu wapinzani, walipokelewa CCM kwa shangwe za kufa mtu ila sasa walitupwa kama takataka na hawajulikani walipo. Sasa Kinana na Mwigulu wamefanya usajili wa Shonza na Mwampamba waliofukuzwa CDM na wakapokelewa kwa mbwembwe na kupga pcha na Kikwete, wakawatukana kwa matuc viongoz wa CDM majukwaani na kujbu hoja kwa matusi. Kibao kimegeuka baada ya kushndwa Arusha na kata ya nyumban kwao Iyela Mbeya. Viongoz wa juu CCM wamehoj kwa nin Mwigulu amewatumia hawa mamluk wasiopendwa na wananch na wakalipwa perdiem? Ameagzwa asiwatumie tena wabak wanachama wa kumiliki kadi. What goz around comes around

Mtasubiri sanaaaaaaa
 
kufanya usajil kutoka CUF akawachukua Shaibu na Tambwe Hiza, hawa jamaa ndo waasisi wa siasa za matusi, walisajiliwa CCM si kujibu hoja kwa hoja bali hoja ijibiwe na matusi na uhodari wao wa propaganda za matusi ndo sababu ya Makamba kuwamega CUF na akawaleta CCM
hawa vijana wameshaisha, CCM ina wenyewe!! we ukulie CDM ufanye vurugu then cheo ukapatie CCM, wapi na wapi? ndiyo maana hadi leo hawana kitengo maalum ingekuwa JKT tungewaita wako (Man Power section) kazi yoyote inayotokea ile ya kutumia nguvu ndiyo wanapewa.

Wamtafute Lamwai yule mwanasheria nguli atawaeleza siasa za nchi hii zikoje; nawapa pole kufurahia perdiem za siku mbili tatu wakati future ni nyeusi tii.

hiyo ndiyo CCM bwana!!
 
Hahhaaaa stela mwampamba 0713 inakuhusu sana ukaitumie baada ya kutupwa kwanye dustbin la manyinyiem....fyonza ataendelea na mkorogo angalau uwanja wa fisi wamfaudu...
 
Back
Top Bottom