Mwampamba na Shonza yameanza kuwakuta yale ya Shaibu na Tambwe Hiza CCM

Mwampamba na Shonza yameanza kuwakuta yale ya Shaibu na Tambwe Hiza CCM

Usithubutu kukutwa na maccm manyanyasaji, mauaji hayo na majizi ya hela za wananchi

"To know the enemy is half the victory"
 
Shonza aliahidiwa ubunge wa viti maalumu au ukuu wa wilaya ngoja tusubiri


It is very unfortunate kuwa kwenye katiba mpya hiyo kitu ya viti maalum hakuna labda kama anapewa sasa. Lakini kweli kama watawekwa benchi itakuwa ni jambo jema sana kwa kuwa hii itakuwa ni mchakato katika kusafisha chama chetu. Whoever thought of this; Big Up!
 
Sometimes wanazi wa CDM humu ndani wanakuwa kama mazuzu vile
Wao wanachotaka ni uandike chochote kuponda CCM basi watashadadia wakati habari haina kichwa wala miguu
Ingekuwa ni habari ya CDM hapa kila mtu ange demand source..........................
 
CCM ni janga jamani watu wengine hawajatambua. Kama inaweza watelekeza wazee wa EAC wasitaafu itamkumbuka Mwampamba na Shonza??????
 
Mtasubiri sanaaaaaaa
Utakavyotupwa hutaamini macho yako,toka lini masalia yapate vyeo wakati wapo magamba yaliyokomaa kama akina benno malisa na wengineo wasipewe vyeo iwe wewe kidampa!!Muulize tambi hizzo aliyetoka kwa maliberali..
 
It is very unfortunate kuwa kwenye katiba mpya hiyo kitu ya viti maalum hakuna labda kama anapewa sasa. Lakini kweli kama watawekwa benchi itakuwa ni jambo jema sana kwa kuwa hii itakuwa ni mchakato katika kusafisha chama chetu. Whoever thought of this; Big Up!

anasubiri huruma ya JK akipangua wakuu wa wilaya au mkuu wa wilaya afe au nafasi za rais za ubunge wa kuteua
 
Aibuuuuuu mtoto wa kike kuuza utu wako ajili ya vijisenti uchwara!!! Utajibeba mwaka huu manake wenye chama chao washaanza kuwachoka halo halo

kana akili ndogo kweli hako kadada
 
Sometimes wanazi wa CDM humu ndani wanakuwa kama mazuzu vile
Wao wanachotaka ni uandike chochote kuponda CCM basi watashadadia wakati habari haina kichwa wala miguu
Ingekuwa ni habari ya CDM hapa kila mtu ange demand source..........................
Acha hizo wewe gamba unataka source wakati kila kitu kipo wazi,tunawasaidia hawa vidampa wasome alama za nyakati kwa sababu matusi yao ndio yanakwenda kuishindilia magamba kwenye kaburi la futi mia..
 
Mtasubiri sanaaaaaaa

Utatumiwa sana na Mwigulu, utachakaa na mwishowe atakuacha tu kubali ukatae, Dua na maombi ya watanzania lazima yatasikilizwa tu.

Chadema mwndo mdundo yuko wa Masumbuko Lamwai na Wali Kaboru???? Jibu unalo mwenyewe
 
Nyomi ya Songea hii, mwaka huu magamba presha inapanda presha inashuka bila kusahau kitu kinagonga kyupi na kurudi

Unaelewa jina la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nani?
 
Back
Top Bottom