Mwampamba na Shonza yameanza kuwakuta yale ya Shaibu na Tambwe Hiza CCM

Mwampamba na Shonza yameanza kuwakuta yale ya Shaibu na Tambwe Hiza CCM

Sioni kicwa wala miguu kwenye huo udaku uliotuletea.

aiseeeee babayangu ZOMBA ukienda kuchukuwa buku 7000 pale lumumba kwa nape naomba unichukulie na yangu unitumie m-pesa,ndio tumeshindwa arusha tutafanyaje tulitumia njia zote kuiba kura kufoji kadi za kupiga kura,kuchakachua daftali la kudumu,pamoja na kurusha bomu la mkona lakini wafuasi wa CDM wamechakua wanachokitaka asieeeeee babayangu nitaua mtu kama sita pata BUKU 7000 yangu
 
Bado kutimuliwa tu na huko MAGAMBANI...wakaanzishe chama chao kipya.....

Hapo nakubaliana na wahenga waliposema "Usiwadharau Wakunga na Uzazi Ungalipo" Swali ni je yameshawafika watarudi wapi?
 
Shonza aliahidiwa ubunge wa viti maalumu au ukuu wa wilaya ngoja tusubiri

Hivi ukiwa na mpiga debe kama Shonza , Mwampamba na wewe utajiita unampiganaji kweli,wale wote ni njaa njaa tu,waliondolewa cdm kwasababu ya njaa njaa tu wakajikuta wanatumika na Mwigulu,chezea mwigulu wewe!!!!!!!!!!! Niliwaona huku arusha kata ya Elerai wakaitwa jukwaani na mwigulu wakatambulishwa tu wakaambiwa kakaeni muda autoshi ninyi kuzungumza,siku hiyo mwampamba alivaa pama lake la kinyinyiemu nyinyiemu wamepaukaaaaaaa
 
Ukuu wa wilaya ataupata lini maaa zote zina watu na 2015 hawapo tena hawa!!!!!!!!!!!!Labda afe mbunge wa viti maalumu aonewe huruma. ila ukiwa na mbunge kama Juliana jamani utafika kweli safari yako!!!!!!!!!!!
 
Sometimes wanazi wa CDM humu ndani wanakuwa kama mazuzu vile
Wao wanachotaka ni uandike chochote kuponda CCM basi watashadadia wakati habari haina kichwa wala miguu
Ingekuwa ni habari ya CDM hapa kila mtu ange demand source..........................

we mgeni na politics?
 
Hivi ukiwa na mpiga debe kama Shonza , Mwampamba na wewe utajiita unampiganaji kweli,wale wote ni njaa njaa tu,waliondolewa cdm kwasababu ya njaa njaa tu wakajikuta wanatumika na Mwigulu,chezea mwigulu wewe!!!!!!!!!!! Niliwaona huku arusha kata ya Elerai wakaitwa jukwaani na mwigulu wakatambulishwa tu wakaambiwa kakaeni muda autoshi ninyi kuzungumza,siku hiyo mwampamba alivaa pama lake la kinyinyiemu nyinyiemu wamepaukaaaaaaa

CCM wanajuana kuleana maana kila mtu ni mchafu ndani ya CCM nani ataanza kumnyoshea kidole mwenzie? ndo maana hawa wanatesa tu CCM hawawezi fanywa lolote
 
Aibuuuuuu mtoto wa kike kuuza utu wako ajili ya vijisenti uchwara!!! Utajibeba mwaka huu manake wenye chama chao washaanza kuwachoka halo halo
aiseeeeee mamayangu SWEETLADY sio kuuza utu tu mpaka chini ya kituvu na 0715 anauza
 
'Waste that can never recycle' ndio hawa vijana wawili.walituzuga, wakatukana mno, kwa mwenye akili lazima atakuwa alihoji malezi na makuzi yao tangu wazaliwe.
 
Gamba limekurupuka huko mbiooo eti udaku, atuambie akina tambwe hiza wako wapi? Asisahau pia kutuambia wapi walipopita juliana shoza na shogaake mwampamba wakakubalika zaidi ya kuambulia aibu

aiseeeee mamayangu sweetlady LIKE ahitushi shukua na :A S kiss::A S kiss::A S kiss: za shavu umenena vizuri sana
 
Mara nyingi sio kwamba sipo nipo vere weli ila komenti za baadhi ya Mazombi ya gambaz inabidi uwe mvumilivu,
 
Ukuu wa wilaya ataupata lini maaa zote zina watu na 2015 hawapo tena hawa!!!!!!!!!!!!Labda afe mbunge wa viti maalumu aonewe huruma. ila ukiwa na mbunge kama Juliana jamani utafika kweli safari yako!!!!!!!!!!!

wanaweza kugawa IRAMBA ZIKAWA MBILI, shelui na iramba yenyewe ili mradi fyonza apate.

Sijui kwa yule maskini wa kiume sasa sijui na yeye atapata kama mbatiya??? Au kulu alisha maliza zake kumi za kuteua.???
 
Back
Top Bottom