bluetooth23
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 348
- 326
Kama mnakumbuka aliyekuwa katbu mkuu wa CCM mzee Yusuph Rajab Makamba aliwah kufanya usajil kutoka CUF akawachukua Shaibu na Tambwe Hiza, hawa jamaa ndo waasisi wa siasa za matusi, walisajiliwa CCM si kujibu hoja kwa hoja bali hoja ijibiwe na matusi na uhodari wao wa propaganda za matusi ndo sababu ya Makamba kuwamega CUF na akawaleta CCM wasaidie kujibu mapgo ya wapnzani na walishnda kwny radio na magazeti kila cku kujbu wapinzani, walipokelewa CCM kwa shangwe za kufa mtu ila sasa walitupwa kama takataka na hawajulikani walipo. Sasa Kinana na Mwigulu wamefanya usajili wa Shonza na Mwampamba waliofukuzwa CDM na wakapokelewa kwa mbwembwe na kupga pcha na Kikwete, wakawatukana kwa matuc viongoz wa CDM majukwaani na kujbu hoja kwa matusi. Kibao kimegeuka baada ya kushndwa Arusha na kata ya nyumban kwao Iyela Mbeya. Viongoz wa juu CCM wamehoj kwa nin Mwigulu amewatumia hawa mamluk wasiopendwa na wananch na wakalipwa perdiem? Ameagzwa asiwatumie tena wabak wanachama wa kumiliki kadi. What goz around comes around
Sioni kiwa wala miguu kwenye huo udaku uliotuletea.
gamba at workSioni kiwa wala miguu kwenye huo udaku uliotuletea.
gamba at work
Kama huo ni udaku tuwekee ukweli unaoujua wewe
Kama mnakumbuka aliyekuwa katbu mkuu wa CCM mzee Yusuph Rajab Makamba aliwah kufanya usajil kutoka CUF akawachukua Shaibu na Tambwe Hiza, hawa jamaa ndo waasisi wa siasa za matusi, walisajiliwa CCM si kujibu hoja kwa hoja bali hoja ijibiwe na matusi na uhodari wao wa propaganda za matusi ndo sababu ya Makamba kuwamega CUF na akawaleta CCM wasaidie kujibu mapgo ya wapnzani na walishnda kwny radio na magazeti kila cku kujbu wapinzani, walipokelewa CCM kwa shangwe za kufa mtu ila sasa walitupwa kama takataka na hawajulikani walipo. Sasa Kinana na Mwigulu wamefanya usajili wa Shonza na Mwampamba waliofukuzwa CDM na wakapokelewa kwa mbwembwe na kupga pcha na Kikwete, wakawatukana kwa matuc viongoz wa CDM majukwaani na kujbu hoja kwa matusi. Kibao kimegeuka baada ya kushndwa Arusha na kata ya nyumban kwao Iyela Mbeya. Viongoz wa juu CCM wamehoj kwa nin Mwigulu amewatumia hawa mamluk wasiopendwa na wananch na wakalipwa perdiem? Ameagzwa asiwatumie tena wabak wanachama wa kumiliki kadi. What goz around comes around
gamba at work
Fatilia nyayo zangu humu JF utauona, mwingi tu. Anza.
hawa vijana wameshaisha, CCM ina wenyewe!! we ukulie CDM ufanye vurugu then cheo ukapatie CCM, wapi na wapi? ndiyo maana hadi leo hawana kitengo maalum ingekuwa JKT tungewaita wako (Man Power section) kazi yoyote inayotokea ile ya kutumia nguvu ndiyo wanapewa.kufanya usajil kutoka CUF akawachukua Shaibu na Tambwe Hiza, hawa jamaa ndo waasisi wa siasa za matusi, walisajiliwa CCM si kujibu hoja kwa hoja bali hoja ijibiwe na matusi na uhodari wao wa propaganda za matusi ndo sababu ya Makamba kuwamega CUF na akawaleta CCM
Sioni kicwa wala miguu kwenye huo udaku uliotuletea.