Mwamposa ajenga hotel ya kisasa jijini Mbeya

Kurudisha fadhila kwa jamii, watu watakua wanalala bure au kufanya matukio yao bure?
Avunie Dar ajenge Mbeya! Watanzania wengi wapumbavu sana wanashindwaje kung'amua kwamba ni matapeli wanatafuta pesa kwa uwizi wa wazi kabisa. Halafu kwanini wanyakyusa ndiyo ndio wanaojipatia pesa kwa njia hii? Watu hawastuki, huyo ni Mungu wa kabila la wanyakyusa? Nchi hii mapoyoyo yataisha lini?
 
Hiyo MIRADI Makusanyo yanaingia kwenye Taasisi... Sasa huyu ndugu yetu na akaunti zenye majina yake je? Halafu alivyo mjanja yeye anaendesha HUDUMA tu na si KANISA linalohitaji kuwa na watu wengine Ili liandikishwe...
 
Hiyo MIRADI Makusanyo yanaingia kwenye Taasisi... Sasa huyu ndugu yetu na akaunti zenye majina yake je? Halafu alivyo mjanja yeye anaendesha HUDUMA tu na si KANISA linalohitaji kuwa na watu wengine Ili liandikishwe...

Isingekuwa huduma kwa uchu watu walionao kwa pesa isingekuwepo
 
Akili ndugu yangu. Ana akili za kutaoeli. Acha apige pesa
 
Sidhani kama kuna tatizo yeye kumilki vitu hivyo. Kwenye injili tunasoma mtume Paulo alikuwa akishona mahema enzi hizo. Labda leo tungesema alimilki kiwanda cha maturubai na mahema. Kudos Bulldozer😎
 
Yeye anajenga miradi ya pesa
Waumini mnaambiwa myaache ya dunia muweke akiba mbinguni maana hamjui siku wala saa 😄
 
🤣🤣
 
NJOO MBEZ BEACH UONEE KASSRI LA BISHOP WA MWENGE
KAA A PASSWD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…