Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Ndio nani?GENTAMYCINE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio nani?GENTAMYCINE
Na watapigwa mpaka wafe kifo cha Mende, bad issue waumini hawana share wao kazi yao kuchangia tu KAMPUNI kumamamammakeSadaka za kujimaliza zinafanya kazi vizuri.
Ujue pia na kutumia na Uchawi wa Msumbiji na Congo DR hasa ule wa kutumia Maji ya Maiti wanayoyagawa na Mafuta ya Ngozi ya Maiti ambayo huwa mnahimizwa mnunue.Kumbe injili inalipa acha na mie nianze mapema
Wauminí wawafikirie walale bure aisee
Ogopa sanaUjue pia na kutumia na Uchawi wa Msumbiji na Congo DR hasa ule wa kutumia Maji ya Maiti wanayoyagawa na Mafuta ya Ngozi ya Maiti ambayo huwa mnahimizwa mnunue.
Kazi Kwenu Majuha.
Kurudisha fadhila kwa jamii aliyokulia.. [emoji23][emoji23][emoji23]Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine lililopo kawe Jijini Dar es Salaam amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa leo hii na Spika wa Bunge la Jamhuri ya mmMuungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson.
Mtume Mwamposa amejenga hotel hiyo ili kurudisha fadhila kwa jamii aliyokulia.
View attachment 2463457
Source: Clouds Media
Humu ndani huwa ni kisema huyu jamaa ni muhuni Kuna matahira huwa wanasema Nina mapepo..[emoji23][emoji23][emoji23]Nakuongezea na mengine wakati Waumini wake Umasikini ukizidi Kuwaandama Kununua Nyumba ya Rubani wa zamani wa Hayati Mwalimu Nyerere Kawe Beach Avocado jirani na Hotel ya Triple Seven kwa Tsh Bilioni 2, Kanunua Uwanja mkubwa Mbezi Beach Tangi Bovu ( New Corner Bar ) njia ya zamani ya kwenda Goba ambako huenda mwakani ( 2023 ) Mwezi April Kanisa lake likahamia huko kwa Tsh Bilioni 3, amejenga Kiwanda cha Chumvi huko Pwani Rufiji na pia ana Shamba Kubwa la Miwa huko Bagamoyo achilia mbali lile Kubwa la Korosho Mkoani Mtwara.
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer huku akiwa ndiyo Mshindi wa Shindano la kumtafuta Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums kwa mwaka 2022 na mwenye uhakika wa kuendelea Kuchukua Tuzo hii hata kwa miaka mingi ijayo kama tu atapendekezwa na Wanachama ( Members ) hapa.Ndio nani?
Charismatic Fella ana undugu na Rocka Fella au?Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer huku akiwa ndiyo Mshindi wa Shindano la kumtafuta Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums kwa mwaka 2022 na mwenye uhakika wa kuendelea Kuchukua Tuzo hii hata kwa miaka mingi ijayo kama tu atapendekezwa na Wanachama ( Members ) hapa.
Hapana bali ana Undugu tu na Geniuses Wenzake just Elected Israel Premier Benjamin BIBI Netanyahu na Rais wa Rwanda Paul Kagame.Charismatic Fella ana undugu na Rocka Fella au?
Ana undugu na Nentanyau na Paul Kagame wameshea mama au wameshea baba?Hapana bali ana Undugu tu na Geniuses Wenzake just Elected Israel Premier Benjamin BIBI Netanyahu na Rais wa Rwanda Paul Kagame.
Mmoja kwa Baba na Mwingine Mama.Ana undugu na Nentanyau na Paul Kagame wameshea mama au wameshea baba?
Wizi wa sadaka unalipa. Utapeli wa kuuza neno la Mungu pia unalipa. Ila ni laana. Yatakayomkuta siku moja kuna watakaokumbuka unabii huuMtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine lililopo kawe Jijini Dar es Salaam amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa leo hii na Spika wa Bunge la Jamhuri ya mmMuungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson.
Mtume Mwamposa amejenga hotel hiyo ili kurudisha fadhila kwa jamii aliyokulia.
View attachment 2463457
Source: Clouds Media
Duuuh mama Netanyahu na baba Paul Kagame au?Mmoja kwa Baba na Mwingine Mama.
Amejenga hotel kwa mtaji upi?Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine lililopo kawe Jijini Dar es Salaam amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa leo hii na Spika wa Bunge la Jamhuri ya mmMuungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson.
Mtume Mwamposa amejenga hotel hiyo ili kurudisha fadhila kwa jamii aliyokulia.
View attachment 2463457
Source: Clouds Media
Napongeza bidii zake katika kutafuta vyanzo vya ajira maana ataajiri vijana wengi aendelee kufanikiwa zaidi inshallah 🙏🙏🙏Nakuongezea na mengine wakati Waumini wake Umasikini ukizidi Kuwaandama Kununua Nyumba ya Rubani wa zamani wa Hayati Mwalimu Nyerere Kawe Beach Avocado jirani na Hotel ya Triple Seven kwa Tsh Bilioni 2, Kanunua Uwanja mkubwa Mbezi Beach Tangi Bovu ( New Corner Bar ) njia ya zamani ya kwenda Goba ambako huenda mwakani ( 2023 ) Mwezi April Kanisa lake likahamia huko kwa Tsh Bilioni 3, amejenga Kiwanda cha Chumvi huko Pwani Rufiji na pia ana Shamba Kubwa la Miwa huko Bagamoyo achilia mbali lile Kubwa la Korosho Mkoani Mtwara.
Hovyoooooooo....!!!!!!!!!Napongeza bidii zake katika kutafuta vyanzo vya ajira maana ataajiri vijana wengi aendelee kufanikiwa zaidi inshallah 🙏🙏🙏
Wajinga ndiyo waliwao!!!Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine lililopo kawe Jijini Dar es Salaam amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa leo hii na Spika wa Bunge la Jamhuri ya mmMuungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson.
Mtume Mwamposa amejenga hotel hiyo ili kurudisha fadhila kwa jamii aliyokulia.
View attachment 2463457
Source: Clouds Media