Mwamposa ajenga hotel ya kisasa jijini Mbeya

Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine lililopo kawe Jijini Dar es Salaam amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa leo hii na Spika wa Bunge la Jamhuri ya mmMuungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson.

Mtume Mwamposa amejenga hotel hiyo ili kurudisha fadhila kwa jamii aliyokulia.

View attachment 2463457

Source: Clouds Media
Wajinga ndio waliwao
 
Nakuongezea na mengine wakati Waumini wake Umasikini ukizidi Kuwaandama Kununua Nyumba ya Rubani wa zamani wa Hayati Mwalimu Nyerere Kawe Beach Avocado jirani na Hotel ya Triple Seven kwa Tsh Bilioni 2, Kanunua Uwanja mkubwa Mbezi Beach Tangi Bovu ( New Corner Bar ) njia ya zamani ya kwenda Goba ambako huenda mwakani ( 2023 ) Mwezi April Kanisa lake likahamia huko kwa Tsh Bilioni 3, amejenga Kiwanda cha Chumvi huko Pwani Rufiji na pia ana Shamba Kubwa la Miwa huko Bagamoyo achilia mbali lile Kubwa la Korosho Mkoani Mtwara.
Kumbe injili inalipa acha na mie nianze mapema
 
Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine lililopo kawe Jijini Dar es Salaam amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa leo hii na Spika wa Bunge la Jamhuri ya mmMuungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson.

Mtume Mwamposa amejenga hotel hiyo ili kurudisha fadhila kwa jamii aliyokulia.

View attachment 2463457

Source: Clouds Media
Anatumia Hela za mapumbavu akiyaambia sadaka zinaenda kwa Mungu, kumbe linajenga hotel.

Mayatima na wajane hakuna hata anayehudimiwa
 
Nakuongezea na mengine wakati Waumini wake Umasikini ukizidi Kuwaandama Kununua Nyumba ya Rubani wa zamani wa Hayati Mwalimu Nyerere Kawe Beach Avocado jirani na Hotel ya Triple Seven kwa Tsh Bilioni 2, Kanunua Uwanja mkubwa Mbezi Beach Tangi Bovu ( New Corner Bar ) njia ya zamani ya kwenda Goba ambako huenda mwakani ( 2023 ) Mwezi April Kanisa lake likahamia huko kwa Tsh Bilioni 3, amejenga Kiwanda cha Chumvi huko Pwani Rufiji na pia ana Shamba Kubwa la Miwa huko Bagamoyo achilia mbali lile Kubwa la Korosho Mkoani Mtwara.
Ashakum sio Matusi Ila nasubutu kusema Komamamake Mwamposa Tapeli, na asitokee Mchawi akaniroga Dulla Makabila atakua Wakili wangu
 
Tushahama kwenye maji bwashee....tunauza udongo sasa.
Akifika Kigoma atauza funza and believe me, wapo wstakaonunua hao funza.
Ogopa Sana uchawi.
Ningetegemea hizo hela anazopokea Kama sadaka angejenga vituo vya kulelea wazee wasio jiweza, au vilema au angefungua shule au hata angetoa bursary kwa wanafunzi wasio na uwezo. Lkn huyu MTU anajenga lodge na kuibambika jina la HOTEL.
SADAKA INA JENGA GESTI????
 
Back
Top Bottom