Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
A well informed, talented and charismatic fellaNakuongezea na mengine wakati Waumini wake Umasikini ukizidi Kuwaandama amejenga Kiwanda cha Chumvi huko Pwani Rufiji na pia ana Shamba Kubwa la Miwa huko Bagamoyo achilia mbali lile Kubwa la Korosho Mkoani Mtwara.
Jamii watahudumiwa bure hapo Hotelini?Mtume Mwamposa amejenga hotel hiyo ili kurudisha fadhila kwa jamii aliyokulia.
View attachment 2463457
Source: Clouds Media
Si pombe tu, hata ngono itapigwa humo!Pombe zitauzwa humo au
Sasa hivi nasikia ame advance zaid,sasa hivi ni swimming pool[emoji23][emoji23]Vp kuhusu huduma yake ya maji,,itakuwepo????
Nimehoji na mimi,eti kurudisha fadhila kwani watu wanalala bureKurudisha fadhila kwa jamii, watu watakua wanalala bure au kufanya matukio yao bure?
Umewaza kama mimii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kurudisha fadhila kwa jamii, watu watakua wanalala bure au kufanya matukio yao bure?
GENTAMYCINEA well informed, talented and charismatic fella
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wajinga hawajawahi isha na hawataisha kamwe