Mwamposa ajenga hotel ya kisasa jijini Mbeya

Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine lililopo kawe Jijini Dar es Salaam amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa leo hii na Spika wa Bunge la Jamhuri ya mmMuungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson.

Mtume Mwamposa amejenga hotel hiyo ili kurudisha fadhila kwa jamii aliyokulia.

View attachment 2463457

Source: Clouds Media
Kurudisha fadhila kwa jamii aliyokulia.. [emoji23][emoji23][emoji23]

Maza Fanta Mwamposa..
 
Nakuongezea na mengine wakati Waumini wake Umasikini ukizidi Kuwaandama Kununua Nyumba ya Rubani wa zamani wa Hayati Mwalimu Nyerere Kawe Beach Avocado jirani na Hotel ya Triple Seven kwa Tsh Bilioni 2, Kanunua Uwanja mkubwa Mbezi Beach Tangi Bovu ( New Corner Bar ) njia ya zamani ya kwenda Goba ambako huenda mwakani ( 2023 ) Mwezi April Kanisa lake likahamia huko kwa Tsh Bilioni 3, amejenga Kiwanda cha Chumvi huko Pwani Rufiji na pia ana Shamba Kubwa la Miwa huko Bagamoyo achilia mbali lile Kubwa la Korosho Mkoani Mtwara.
Humu ndani huwa ni kisema huyu jamaa ni muhuni Kuna matahira huwa wanasema Nina mapepo..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio nani?
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer huku akiwa ndiyo Mshindi wa Shindano la kumtafuta Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums kwa mwaka 2022 na mwenye uhakika wa kuendelea Kuchukua Tuzo hii hata kwa miaka mingi ijayo kama tu atapendekezwa na Wanachama ( Members ) hapa.
 
Charismatic Fella ana undugu na Rocka Fella au?
 
Msamaha wa kodi kwa hizi taasis za dini bado upo au ulishafutwa?
 
Hapana bali ana Undugu tu na Geniuses Wenzake just Elected Israel Premier Benjamin BIBI Netanyahu na Rais wa Rwanda Paul Kagame.
Ana undugu na Nentanyau na Paul Kagame wameshea mama au wameshea baba?
 
Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine lililopo kawe Jijini Dar es Salaam amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa leo hii na Spika wa Bunge la Jamhuri ya mmMuungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson.

Mtume Mwamposa amejenga hotel hiyo ili kurudisha fadhila kwa jamii aliyokulia.

View attachment 2463457

Source: Clouds Media
Wizi wa sadaka unalipa. Utapeli wa kuuza neno la Mungu pia unalipa. Ila ni laana. Yatakayomkuta siku moja kuna watakaokumbuka unabii huu
 
Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine lililopo kawe Jijini Dar es Salaam amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa leo hii na Spika wa Bunge la Jamhuri ya mmMuungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson.

Mtume Mwamposa amejenga hotel hiyo ili kurudisha fadhila kwa jamii aliyokulia.

View attachment 2463457

Source: Clouds Media
Amejenga hotel kwa mtaji upi?
 
Nakuongezea na mengine wakati Waumini wake Umasikini ukizidi Kuwaandama Kununua Nyumba ya Rubani wa zamani wa Hayati Mwalimu Nyerere Kawe Beach Avocado jirani na Hotel ya Triple Seven kwa Tsh Bilioni 2, Kanunua Uwanja mkubwa Mbezi Beach Tangi Bovu ( New Corner Bar ) njia ya zamani ya kwenda Goba ambako huenda mwakani ( 2023 ) Mwezi April Kanisa lake likahamia huko kwa Tsh Bilioni 3, amejenga Kiwanda cha Chumvi huko Pwani Rufiji na pia ana Shamba Kubwa la Miwa huko Bagamoyo achilia mbali lile Kubwa la Korosho Mkoani Mtwara.
Napongeza bidii zake katika kutafuta vyanzo vya ajira maana ataajiri vijana wengi aendelee kufanikiwa zaidi inshallah 🙏🙏🙏
 
Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine lililopo kawe Jijini Dar es Salaam amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa leo hii na Spika wa Bunge la Jamhuri ya mmMuungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson.

Mtume Mwamposa amejenga hotel hiyo ili kurudisha fadhila kwa jamii aliyokulia.

View attachment 2463457

Source: Clouds Media
Wajinga ndiyo waliwao!!!
 
Back
Top Bottom