Mwamposa ajitetea kuwakamua waumini 'sadaka ya kujimaliza', atoa ufafanuzi mujarabu

Wakristo mnapigwa hadi huruma kwakweli!
Hakuna mkristo anayepigwa. Yesu aliweka wazi hapa[emoji116]

"Basi Yesu akawaambia tena akisema Mimi ndimi Nuru ya ulimwengu,yeye anifuataye hatakwenda gizani kamwe bali atakuwa na Nuru ya Uzima"
(Yohana 8:12)

Wewe bado hujabahatika kukutana na Wakristo. Siku ukikutana nae angalau mmoja tu,utafuta ulichokiandika hapo!
 
Usihangaike na watu waongo. Hakuna ushahidi wowote aliouweka.
 
Jana nimetazama filamu ya kimarekani inaitwa Message and the Messenger(2022) aisee..inaonyesha namna gani hawa viongozi wa hizi taasisi za kidini wanavyowaibia waumini wao.
Hii filamu imetokana na matukio ya halisi yaliyowahi kutokea.
Naipataje mkuu?[emoji120]
 
Mganga anafanya biashara hatumii nguvu za mungu anatumia nguvu za kibinadamu haina tofauti na kuenda kwa daktari tu, kwahiyo kama wachungaji nao wanafanya biashara na wanatumia nguvu za kibinadamu waseme mapema ili tuwaweke kwenye kundi moja na waganga, watu wanapoenda huko kwa mungu wanategemea miujiza tu sababu wanaamini mungu hahitaji pesa
 
Mambo ya kiimani ni mapana sana na yana siri ambazo wapo wanaozijua na wapo wasiozijua huwa sipendi kuhoji sana watumishi wanaonda mienendo tofauti nachofanya nikutafuta napopaamini, na kumuomba Mungu pia kunionyesha kweli, tusinyoshee vidole watumishi hata kama wapo katika njia potosha wewe hama kanisa basi mtafute Mungu wa kweli alipo na ukimtafuta utampata
 
M...snge huyo Mwamposa
 
Mganga sio mtumishi wa bwana ila Mwamposa ni mtumishi wa mungu pindi anapofanya cha tofauti lazima tujiulize Mara mbili mbili usi mfananishe Mtume mwamposa na mganga
 
Kuna mtumishi moja alituita mbele, eti ooh hamtoi 10% hamtoi vizuri ndiyo maana maisha yenu hayabadiliki. Ghafla kasema Ili uondoke hapa toa zote!!! Nikaondoka zangu mie. Haya matapeli haya.
 
Heeeeeeee!

Kwahiyo sasa sio hizi buku buku tunazoenda nazo Church ila anataka akiba za banki zote jamani
Hiyo ndio maana halisi ya KUJIMALIZA mkuu. Sio watu wanatoa laki yote waliyoenda nayo kanisani halafu wanakuja hapa kulalamika wakati hata robo ya pesa waliyonayo benki haikafika.

Wananchi wengi walikuwa hawajui hili jambo. Sasa baada ya ufafanuzi kutolewa kila kitu kiko wazi.
 
Sasa ndio unalazimisha watu wafilisiwe pesa zao bila kufuata utaratibu? Biblia inasema watu tumtolee Mungu sadaka ya 10% halafu wewe kibaraka wa Mwamposa unataka watu wakombe pesa zao zote wampelekee Mwamposa kwa kifungu kipi cha biblia?

Usitetee ujinga mkuu. Kama unaenda kujimaliza nenda kajimalize mwenyewe usitulazimishe, ebo!
 
Ila waumini ni wajinga kweli kweli

Yaani hilo SADAKA YA KUJIMALIZA ndo kusema waumini hawalielewi kabisa au ni kujizima data tu?

Mwamposa kamatilia hapo hapo usilegeze mtume
 
Mtu akitoa sadaka hivyo, ni haki yake ya kikatiba.

Ni haki yake ya kikatiba kuamua kuwa masikini pia.
Mkuu kiranga,

Mungu mwenye nguvu zote aliyeweza kushusha malaika wakaua kambi nzima, mungu aliyekuwa anawashushia wana waisrael chakula anashindwa vipi kumshushia huyu bwana anayesema watu wakombe pesa zao?

Kwanini huyo mungu asubiri pesa za watu na akijinadi yeye vitu vyote ni mali yake?
🀣
 


Matapeli wakubwa, watakufa vibaya sana hawa wezi na majambazi yanayotumia jina La Mungu kwa uovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…