Mwamposa ajitetea kuwakamua waumini 'sadaka ya kujimaliza', atoa ufafanuzi mujarabu

Tapeli kama matapeli wengine tu.
 
Kama hujawahi kwenda kusali Kawe Kwa Mwamposa na kutoa hiyo sadaka ya kujimaliza basi wewe ndio utulie na uache ujuaji uchwara, na uache kupotosha umma.
Mwamposa mwenyewe katoa ufafanuzi, wewe ni nani hadi upinge? Wewe ni Mwamposa?
 
Nyie wezi tu kama vibaka wengine, tofauti mnaiba huku mmevaa suti na mmeharibu ubongo wa mnaowaibia. We kwa akili yako mtu kufunga bank accounts zote na hela kukuleteeni nyie ,fedha ambazo mtu amesevu kwa miaka kibao, na ana familia inamuhitaji, mnaona ni jambo la kawaida??? Mbona yeye Mwamposa hafungi accounts zake na azitoe kama sadaka?? Au ye hataki kwenda mbinguni? Acheni wizi.
 
Yawezekana wewe mwenyewe hujaelewa
Rudi usikilize tena.


Unachoongea unapotosha umma Mkuu.
Fungua uzi wa kunipinga. Vingivevyo, ukae kimya uache kupotosha umma.

Kama Mwamposa mwenyewe kasema wewe unampinga kama nani?
 
Fungua uzi wa kunipinga. Vingivevyo, ukae kimya uache kupotosha umma.

Kama Mwamposa mwenyewe kasema wewe unampinga kama nani?
Uzi sifungui na kama hutaki watu wachangie basi waambieni moderator waupige pin
Vinginevyo utapokea mawazo tofauti na yako na kimya sikai mkuu,ukikasirika pasuka.

Kichwa chako itakuwa kiliyumba hukumuelewa,wafuasi wa Mwamposa waulize watakupa majibu sahihi...Kawe hujafika ila upo unapotosha watu huku mtandaoni.

Mimi siyo muumini wa Mwamposa ila hiki unachojaribu kuongea ni uongo.
 
Mwambie huyo aelewe apunguze povu humu ndani.
 
Waafrika bado tunaamini sana miujiza.
Matatizo yako ( yetu) hayatoondoka kwa miujiza. Kaa chini umiza kichwa

Mwamposa matatizo yake yashaisha kakaa chini kaumiza kichwa.
 
Sadaka ya kujimaliza ndio inawamaliza mama zetu na kuwatia ufukara. Mwamposa hana huruma hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…