Mwamposa ajitetea kuwakamua waumini 'sadaka ya kujimaliza', atoa ufafanuzi mujarabu

Mwamposa ajitetea kuwakamua waumini 'sadaka ya kujimaliza', atoa ufafanuzi mujarabu

Walalahoi wengi hasa wanawake wanatapeliwa sana na Mwamposa. 99% ya wafuasi wake ni wanwake. Sijui hawa viumbe wanakwama wapi hadi wakubali kutapeliwa kirahisi hivyo.
Jambo hilo lipo kiroho ," kiroho " ni chaka la kupigwa za uso .
 
nipo huku kanda ya ziwa (MWANZA ) wasukuma wanagombea maji na mafuta kifupi wameshikwa
 
Mwamposa akamatwe, ashitakiwe kwa kosa la kulaghai/utapeli. mashahidi nadhani wapo wengi(walalamikaji)

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
nipo huku kanda ya ziwa (MWANZA ) wasukuma wanagombea maji na mafuta kifupi wameshikwa
Wasukuma tena si ndio wanaongoza kwa ushamba hapa nchini Tanganyika! Hawa jamaa hata wamasai na wahadzabe wanawazidi ujanja.
 
Hiyo sadaka ya kujimaliza ni sawa na sell your soul to the devil.
Hkika. Yaani mtu unatoa mali zako zote unabaki uchi kiuchumi. Ni sawa na chizi anayetupa fedha gizani halafu anachukua tochi anaanza kuzitafuta.
 
Hkika. Yaani mtu unatoa mali zako zote unabaki uchi kiuchumi. Ni sawa na chizi anayetupa fedha gizani halafu anachukua tochi anaanza kuzitafuta.
Kabisa. Mafundisho ya neno la Mungu yanapotoshwa sana.

Haya ndiyo mafundisho ya uongo yenyewe?
 
Halafu hizo sadaka zinaenda wapi na hakuna kanisa...
 
Back
Top Bottom