Mwamposa ajitetea kuwakamua waumini 'sadaka ya kujimaliza', atoa ufafanuzi mujarabu

Waafrika bado tunaamini sana miujiza.
Matatizo yako ( yetu) hayatoondoka kwa miujiza. Kaa chini umiza kichwa

Mwamposa matatizo yake yashaisha kakaa chini kaumiza kichwa.
Na hili ndilo tatizo hasa linaloturudisha nyuma kimaendeleo.
 
Yeye mwamposa anajimaliza kwa nani?
Wanayoyahubiri wao wenyewe hawayafanyi maana wanajua wazi hayana ukweli wowote. Utasikia matangazo yao ya mikutano kwamba wagonjwa waende waombewe wapone. Wao wenyewe wakipata matatizo ya kiafya hawaendi kuombewa wanaenda kutibiwa hospitali nzuri kwa pesa walizochuma kwa wajinga!
 
Wajinga ndio waliwao. Nchi hii isingekuwa na wajinga akina Mwamposa wangekula wapi?
 
Wajinga ndio waliwao. Nchi hii isingekuwa na wajinga akina Mwamposa wangekula wapi?
Huko kwenye makanisa yasiyo na uratibu wowote ndio matapeli wanakimbilia siku hizi maana wanatapeli mchana kweupe wala hakuna mamlaka inayowatia mbaroni. They have found green pastures wanakula kwa raha zao! Utapeli in the name of Jesus!!!
 
Wanatuharibia taifa kwa kuwalisha watu mihadarati ya kiroho sasa watu hawatumii akili na muda vizuri kujiletea maendeleo wamebaki kukesha usiku kucha kumpigia Mungu makelele ya kutaka miujiza.
 
Huko kwenye makanisa yasiyo na uratibu wowote ndio matapeli wanakimbilia siku hizi maana wanatapeli mchana kweupe wala hakuna mamlaka inayowatia mbaroni. They have found green pastures wanakula kwa raha zao! Utapeli in the name of Jesus!!!
Kweli kabisa mkuu. Kuna haja ya serikali kuwachunguza hawa wahuni na kuwachukulia hatua kali za kisheria kwa utapeli wanaowafanyia wapiga kura.
 
Kule Rwanda ndio maana Kagame aliwakataza wachungaji wa mchongo
 
Labda kwa mbumbumbu aliyeshindikana ndie anaeweza kulamba pesa zote na kumpelekea binadamu mjanja. Serikali haioni huu upumbavu?
 
Mwamposa anazidi kuwa tajiri Kwa ujinga wa watu
 
Labda kwa mbumbumbu aliyeshindikana ndie anaeweza kulamba pesa zote na kumpelekea binadamu mjanja. Serikali haioni huu upumbavu?
Serikali inamchukulia Mwamposa kama mshirika wake kwenye utawala kwa kuwa anasaidia kuwapumbaza maskini ili CCM iwatawale vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…