Mwamposa anauwezo wa kuombea mikeka yangu ikatiki?

Mwamposa anauwezo wa kuombea mikeka yangu ikatiki?

Ana uwezo ila changamoto malipo ni kabla 😀😀😀😀
 
Bila shaka amekuelewa
Fika Kwa Mtume chukua mafuta na maji ya upako
Kabla ya kubet kunywa nusu glass ya maji
Chukua kalamu utakayochorea mkeka paka mafuta ya upako
Paka kidogo kwenye uso na nyao
Usisahau kutoa sadaka ya kujimaliza
Utaona muujiza wako
 
Ayo maji ayo, kuna mmoja amelazw ini zote hazifanyi kaz kwa kunyw maji kama hayo, kumbe yanachanganyw na vitu ambavy vilikua vinamuatjir taratb, kuweni makini
 
Huyo Mwamposa atakuombea kwa Mungu yupi?

Au huyu huyu Mungu aliyesema kula RIBA ni haramu?
 
Kuna mikeka nimesuka mitatu ikitiki tu hiyo baasi. Wale mashabiki wa mwamposa hivi huyu bwana anaweza kuiombea kwa makubaliano kuwa ikitiki nitamlipa 5%?
Mungu haçhezi kamari, wewe nenda kwa manyaunyau ndo ana hayo mazingaombwe.
 
Kuna mikeka nimesuka mitatu ikitiki tu hiyo baasi. Wale mashabiki wa mwamposa hivi huyu bwana anaweza kuiombea kwa makubaliano kuwa ikitiki nitamlipa 5%?
Hiyo mikeka fahamu kuwa unabudu miungu mingine.Mtafute Mungu wa pekee kwanza na ufalme wake naye ataweza kukupa mikeka ya kudumu
 
Aloo hizi dini zimekuwa shida sana hapa bongo.
Serikali inabidi iingilie kati.. inafanya watanzania kuwa wavivu wakufikiri. Alafu kwa uvivu huu wa kutumia akili kweli bado watz mnajipa matumaini ya kwenda mbinguni 🤣🤣🤣🤣🤣

Shenz type watz wote motoni hamna akili msije mkanajis mbingu bure
🤣
 
Back
Top Bottom