MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Kondoo nyingine hii, mwamposa endelea kutandika hizi kondoo mpaka akili ziwakae sawaDunia hii wenye shida unajua idadi yao na wako wapi hadi Mwamposa akawatembelee?
Muhimbili watu hawaeñdi kumwabudu Mungu wanaenda kutibiwa. Ukitaka uponyaji wa Mungu unaenda kwa Mwamposa.
Hata waganga wa kienyeji wapo ila hujawahi pendekeza nao waende muhimbili wakaponye watu maana nao wanatibu kwa mazingaombwe na watu hujaa huko kutsfuta tiba.