Mwamposa and Clear Malissa; The next giant ambassadors of Heaven in Africa after T.B Joshua.

Mwamposa and Clear Malissa; The next giant ambassadors of Heaven in Africa after T.B Joshua.

Screenshot_20241214-135308_Chrome.jpg
 
Miaka miwili nkitoka hospital hii naenda ile. Waganga wa kienyej kwa sana lkn hola. Hadi nlipoamua kuhudhuria ibada hapo kawe. Jion flan hv tulivu mwamba alik8wa anaombea mmoja mmoja. Alvonishika kichwa akatulia kdg thn kanishika kifua akasepa. Nkahisi kutapika, nikatapika damu ya kutosha. Siku 2 mbele nikaanza na kuongea bila shida nikala kama kawaida had leo cnaga hzo mambo za mateso tena
Kumanyoko again..
Umeukalia wa mwamposa kenge wewe
Hupati mtu hapa pumbavu
 
Ila Mwamposa ana ushawishi aisee, maelfu ya watu wanamfuata kukesha hadi asubuhi, halafu kuna wewe huwezi kuwakusanya hata watu ishirini yani jamaa ana msafara kama wa kiongozi mkubwa flani hivi hadi raha
 
🙄 Eti The next giant ambassadors of Heaven in Africa after T.B Joshua.
Which heaven?
 
Back
Top Bottom