KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Mkuu wajinga ndo waliwao.Hata Yesu walimwita muongo, kwanz muujiza wa kwanza tu Yesu anabadili maji kuwa wine, dahdahdeki...
Nyie mbona mnajimaliza kwa waganga? Mara zote wanaomizwa na matoleo ni nyie ambao wala hamsali, na mnaabudu mashetani. Huko kwenu mnatoa makafara ya damu za watu na hamfanikiwiWewe nenda Katoe sadaka Yako ila usijaze watu upepo huku,
Tena naskia Kuna ingine mnaita sadaka ya kujimaliza!
Yesu alichanganya mate na udongo akamponya kipofuUsiposhituka Africa unaeza kuzikwa hai huhitaji kutumia Akili nyingi kujua Mwamposa ni nabii wa uongo anachanganya Maji na Mafuta ya Ng'ombe anawadanganya mazuzu ni mafuta ya upako.
Weee kakutapeli nini?Ndio mjinga anaetapeli wajinga wenzie
Jamani kwani waganga tumekosa nini tens,sote tuna Bosi mmoja ambaye ndio Mungu mwenyezi-maana chochote hapa Duniani kimefanywa na kimefanyika kwa ajili yake.Nyie mbona mnajimaliza kwa waganga? Mara zote wanaomizwa na matoleo ni nyie ambao wala hamsali, na mnaabudu mashetani. Huko kwenu mnatoa makafara ya damu za watu na hamfanikiwi
Hata Yesu walimwita muongo, kwanza muujiza wa kwanza tu Yesu anabadili maji kuwa wine, dahdahdeki.
Yesu alikuwa anajichanganya na machangudoa, wezi, wakwepa kodi na watu wa aina zote.
Mwamposa angekuwa ni nabii feki, leo angekuwa amesha sambaratika kimoja. Akifa mtu mmoja tu ni Big issue, vipi wafe wagu 20?
Maneno yenu wapinga Kristo hayana cha kumfanya Mwamposa.
Kila mjanja ana mjanja wake. Kila mtu ana madhabahu yake anayoitolea sadaka kwa moyo wa kupenda na wa furaha.Ndio mjinga anaetapeli wajinga wenzie
Kama mafuta anatoa bure basi ni nitakubaliana na wewe ila kama anawauzia basi nyie na wale waendao kwa waganga hamna tofautiNyie mbona mnajimaliza kwa waganga? Mara zote wanaomizwa na matoleo ni nyie ambao wala hamsali, na mnaabudu mashetani. Huko kwenu mnatoa makafara ya damu za watu na hamfanikiwi
Kilichofanya akimbie kwenda kujificha ni nini...mbona unakua kama zoba mwananguHata Yesu walimwita muongo, kwanza muujiza wa kwanza tu Yesu anabadili maji kuwa wine, dahdahdeki.
Yesu alikuwa anajichanganya na machangudoa, wezi, wakwepa kodi na watu wa aina zote.
Mwamposa angekuwa ni nabii feki, leo angekuwa amesha sambaratika kimoja. Akifa mtu mmoja tu ni Big issue, vipi wafe wagu 20?
Maneno yenu wapinga Kristo hayana cha kumfanya Mwamposa.
Kweli brazaKila mjanja ana mjanja wake. Kila mtu ana madhabahu yake anayoitolea sadaka kwa moyo wa kupenda na wa furaha.
Wengine michepuko ndio madhabahu zao, huko wanajipukutisha kichizi, wanatoa hadi senti ya mwisho na hawapewi hata asante.
Wengine bar ndio madhabahu yao, wanamaliza kila kitu huko, wanaambulia karibu tena.
Yaani maisha ndio yako hivyo