KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Hata Yesu walimwita muongo, kwanza muujiza wa kwanza tu Yesu anabadili maji kuwa wine, dahdahdeki.
Yesu alikuwa anajichanganya na machangudoa, wezi, wakwepa kodi na watu wa aina zote.
Mwamposa angekuwa ni nabii feki, leo angekuwa amesha sambaratika kimoja. Akifa mtu mmoja tu ni Big issue, vipi wafe wagu 20?
Maneno yenu wapinga Kristo hayana cha kumfanya Mwamposa.