Mwamposa asingekuwa nabii wa Mungu, angeporomoka kabisa baada ya watu 20 kuuawa kwa kukanyagwa kanisani kwake

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Hata Yesu walimwita muongo, kwanza muujiza wa kwanza tu Yesu anabadili maji kuwa wine, dahdahdeki.

Yesu alikuwa anajichanganya na machangudoa, wezi, wakwepa kodi na watu wa aina zote.

Mwamposa angekuwa ni nabii feki, leo angekuwa amesha sambaratika kimoja. Akifa mtu mmoja tu ni Big issue, vipi wafe wagu 20?

Maneno yenu wapinga Kristo hayana cha kumfanya Mwamposa.
 
Usiposhituka Africa unaeza kuzikwa hai huhitaji kutumia Akili nyingi kujua Mwamposa ni nabii wa uongo anachanganya Maji na Mafuta ya Ng'ombe anawadanganya mazuzu ni mafuta ya upako.
Yesu alichanganya mate na udongo akamponya kipofu
 
Nyie mbona mnajimaliza kwa waganga? Mara zote wanaomizwa na matoleo ni nyie ambao wala hamsali, na mnaabudu mashetani. Huko kwenu mnatoa makafara ya damu za watu na hamfanikiwi
Jamani kwani waganga tumekosa nini tens,sote tuna Bosi mmoja ambaye ndio Mungu mwenyezi-maana chochote hapa Duniani kimefanywa na kimefanyika kwa ajili yake.

Nguvu za waganga,wachawi na watoa kafara zote zimetoka kwa Mungu Baba au unabisha??
 
Hata Yesu walimwita muongo, kwanza muujiza wa kwanza tu Yesu anabadili maji kuwa wine, dahdahdeki.

Yesu alikuwa anajichanganya na machangudoa, wezi, wakwepa kodi na watu wa aina zote.

Mwamposa angekuwa ni nabii feki, leo angekuwa amesha sambaratika kimoja. Akifa mtu mmoja tu ni Big issue, vipi wafe wagu 20?

Maneno yenu wapinga Kristo hayana cha kumfanya Mwamposa.

Daaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]itoshe kusema mwamposa sina imani nae[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio mjinga anaetapeli wajinga wenzie
Kila mjanja ana mjanja wake. Kila mtu ana madhabahu yake anayoitolea sadaka kwa moyo wa kupenda na wa furaha.

Wengine michepuko ndio madhabahu zao, huko wanajipukutisha kichizi, wanatoa hadi senti ya mwisho na hawapewi hata asante.

Wengine bar ndio madhabahu yao, wanamaliza kila kitu huko, wanaambulia karibu tena.

Yaani maisha ndio yako hivyo
 
Nyie mbona mnajimaliza kwa waganga? Mara zote wanaomizwa na matoleo ni nyie ambao wala hamsali, na mnaabudu mashetani. Huko kwenu mnatoa makafara ya damu za watu na hamfanikiwi
Kama mafuta anatoa bure basi ni nitakubaliana na wewe ila kama anawauzia basi nyie na wale waendao kwa waganga hamna tofauti
 
Hata Yesu walimwita muongo, kwanza muujiza wa kwanza tu Yesu anabadili maji kuwa wine, dahdahdeki.

Yesu alikuwa anajichanganya na machangudoa, wezi, wakwepa kodi na watu wa aina zote.

Mwamposa angekuwa ni nabii feki, leo angekuwa amesha sambaratika kimoja. Akifa mtu mmoja tu ni Big issue, vipi wafe wagu 20?

Maneno yenu wapinga Kristo hayana cha kumfanya Mwamposa.
Kilichofanya akimbie kwenda kujificha ni nini...mbona unakua kama zoba mwanangu
 
Kila mjanja ana mjanja wake. Kila mtu ana madhabahu yake anayoitolea sadaka kwa moyo wa kupenda na wa furaha.

Wengine michepuko ndio madhabahu zao, huko wanajipukutisha kichizi, wanatoa hadi senti ya mwisho na hawapewi hata asante.

Wengine bar ndio madhabahu yao, wanamaliza kila kitu huko, wanaambulia karibu tena.

Yaani maisha ndio yako hivyo
Kweli braza
 
Back
Top Bottom