Mwamposa asingekuwa nabii wa Mungu, angeporomoka kabisa baada ya watu 20 kuuawa kwa kukanyagwa kanisani kwake

Kwamba kila mtu ashinde mechi zake au?
 
Mwambie huyo. Mwampoasa anatangaza mkutano Bukoba, Jumapili wanakufa watu 19 siku tatu kabla ya mkutano kuanza. Mimi Kama mtumishi ningehairisha mkutano kwanza , lakini yeye ameendelea bila huruma.
 
Nipe kifungu kutoka kwenye Biblia kinachosema ni marufuku watu kufa kwenye nyumba ya BWANA.

Mathayo 7:21-23. Sio wote waniitao Bwana wataingia paradiso Bali wale watendao Mapenzi ya Mungu aliye juu.

Swali la kujiuliza, ni Mapenzi ya Mungu watu wakakanyagane kwenye kusanyiko lake Mungu mwenyewe ashindwe kuwalinda?. Hapana.
 
Iandaliwe documentary apelekewe kilema wa kweli amuombee.. yani asitafute yeye wala kutupanga kwa njia yoyote tuone kama hamja tafutana

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Hizo habari zenu za kukamata wajinga msiwe mnazileta huku kwa great thinkers..

Mungu yupo.. lakini wewe na mwamposa wako ni matapeli kwasababu mnatumia jina la Mungu kufanya biashara ya maji na mafuta!!

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Mwambie huyo. Mwampoasa anatangaza mkutano Bukoba, Jumapili wanakufa watu 19 siku tatu kabla ya mkutano kuanza. Mimi Kama mtumishi ningehairisha mkutano kwanza , lakini yeye ameendelea bila huruma.
Hawa watu ni wapumbavu.
Alikuja tapeli Bushiri kabla hajamaliza kuhubiri MV . Nyerere ikaua mamia ya watu. Ikumbukwe Jana yake aliitabiria mema Tanzania.
Hawa watu Mungu hajawatuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…