econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Wafafanulie waelewe
Wewe ndio hujamuelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wafafanulie waelewe
Alijificha wapi huko ambako serikali haifiki?
Kuna wenye IQ ndogo kama walevi na wazinzi?
Hata mimi nawaona wazinzi na walevi ni wapumbavu kwelikweli
Makafara hufanywa kwa usiri mkubwa na makafara hayafanywi mchana kweupe
Kwa hiyo serikali iliridhia?
Waambie hao, kila mtu ashinde mechi zakeNyie mbona mnajimaliza kwa waganga? Mara zote wanaomizwa na matoleo ni nyie ambao wala hamsali, na mnaabudu mashetani. Huko kwenu mnatoa makafara ya damu za watu na hamfanikiwi
Kwamba kila mtu ashinde mechi zake au?Kila mjanja ana mjanja wake. Kila mtu ana madhabahu yake anayoitolea sadaka kwa moyo wa kupenda na wa furaha.
Wengine michepuko ndio madhabahu zao, huko wanajipukutisha kichizi, wanatoa hadi senti ya mwisho na hawapewi hata asante.
Wengine bar ndio madhabahu yao, wanamaliza kila kitu huko, wanaambulia karibu tena.
Yaani maisha ndio yako hivyo
Wewe ni mjinga na mpumbavu.
Mungu si Mungu wa hasara,.
Mtume Paul alipokuwa akihubiri kijana mmoja alianguka toka ghorofani akafa lakini Paul alimfufua kisha akaendelea kuhubiri Injili.
Injili ya Yesu haina hasara na vifo vya kipumbavu.
Soma Matendo 20:9-11.
Amkeni enyi wajinga
Mwamba ameuwa wengi kuliko precession air
Nipe kifungu kutoka kwenye Biblia kinachosema ni marufuku watu kufa kwenye nyumba ya BWANA.
Alikimbilia wapi?
Iandaliwe documentary apelekewe kilema wa kweli amuombee.. yani asitafute yeye wala kutupanga kwa njia yoyote tuone kama hamja tafutanaHata Yesu walimwita muongo, kwanza muujiza wa kwanza tu Yesu anabadili maji kuwa wine, dahdahdeki.
Yesu alikuwa anajichanganya na machangudoa, wezi, wakwepa kodi na watu wa aina zote.
Mwamposa angekuwa ni nabii feki, leo angekuwa amesha sambaratika kimoja. Akifa mtu mmoja tu ni Big issue, vipi wafe wagu 20?
Maneno yenu wapinga Kristo hayana cha kumfanya Mwamposa.
Hizo habari zenu za kukamata wajinga msiwe mnazileta huku kwa great thinkers..Hata Yesu walimwita muongo, kwanza muujiza wa kwanza tu Yesu anabadili maji kuwa wine, dahdahdeki.
Yesu alikuwa anajichanganya na machangudoa, wezi, wakwepa kodi na watu wa aina zote.
Mwamposa angekuwa ni nabii feki, leo angekuwa amesha sambaratika kimoja. Akifa mtu mmoja tu ni Big issue, vipi wafe wagu 20?
Maneno yenu wapinga Kristo hayana cha kumfanya Mwamposa.
Hivi ndo huwa mnawadanganya vichaa wenzenuNyie mbona mnajimaliza kwa waganga? Mara zote wanaomizwa na matoleo ni nyie ambao wala hamsali, na mnaabudu mashetani. Huko kwenu mnatoa makafara ya damu za watu na hamfanikiwi
Ndio maana yakeKwamba kila mtu ashinde mechi zake au?
Hata ajali ya Presicion imetokea siku tatu kabla ya mkutano wa Mwamposa.
Hawa watu ni wapumbavu.Mwambie huyo. Mwampoasa anatangaza mkutano Bukoba, Jumapili wanakufa watu 19 siku tatu kabla ya mkutano kuanza. Mimi Kama mtumishi ningehairisha mkutano kwanza , lakini yeye ameendelea bila huruma.