KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
- Thread starter
-
- #81
Hahah hahah mbona mapovu sana ?Hizo habari zenu za kukamata wajinga msiwe mnazileta huku kwa great thinkers..
Mungu yupo.. lakini wewe na mwamposa wako ni matapeli kwasababu mnatumia jina la Mungu kufanya biashara ya maji na mafuta!!
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Acha kumsema vibaya nabii wa BwanaHawa watu ni wapumbavu.
Alikuja tapeli Bushiri kabla hajamaliza kuhubiri MV . Nyerere ikaua mamia ya watu. Ikumbukwe Jana yake aliitabiria mema Tanzania.
Hawa watu Mungu hajawatuma
Na wewe vichaa wenzako wanakudanganya nini?
Mungu hajaribiwi, mpeleke uone kama kiwete hajapona nanwewe ukauvaa uwete wakeIandaliwe documentary apelekewe kilema wa kweli amuombee.. yani asitafute yeye wala kutupanga kwa njia yoyote tuone kama hamja tafutana
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Mathayo 24:24Hata Yesu walimwita muongo, kwanza muujiza wa kwanza tu Yesu anabadili maji kuwa wine, dahdahdeki.
Yesu alikuwa anajichanganya na machangudoa, wezi, wakwepa kodi na watu wa aina zote.
Mwamposa angekuwa ni nabii feki, leo angekuwa amesha sambaratika kimoja. Akifa mtu mmoja tu ni Big issue, vipi wafe wagu 20?
Maneno yenu wapinga Kristo hayana cha kumfanya Mwamposa.
Haki hii comments imenifanya nicheke🤣Muulize,we si ndio chawa mkuu. Nabii akakimbia eneo la tukio usiku usiku bila aibu yani badala abaki kusaidia waumini wake. Bado wewe siku akikukimbia utaelewa
Nalijua neno siishi kwa hisia na ujinga.Acha kumsema vibaya nabii wa Bwana
Pole sana,umekosa jicho la rohoni!Hata Yesu walimwita muongo, kwanza muujiza wa kwanza tu Yesu anabadili maji kuwa wine, dahdahdeki.